Coke Studio ina malipo makubwa kwa wasanii wanaoshiriki?


Joh Makini alikutana Chidinma kule ikazaliwa perfect combo.

Flavour alikutana na Juliana ikazaliwa Nakupenda.

Sallam alipata ya kukutana na Neyo ikazaliwa I will marry u.

Diamond alikutana na Yemi Alade na ngoma ipo jikoni.

Yemi Alade alikutana na sauti Sol kenya na tumeiona.

na ukiambiwa connection aimaanishi mtoe nyimbo hiyo ni mifano tu kuna fursa nyingi nyuma yake na kujuana kwa wasanii kuna faida kubwa kibiashara na kama hujui managers huwa wanakwenda pia..Kama tulivyoona Sallam na Neyo walivyokutana.

Nahreal alisema baada ya kurudi toka Coke Studio kuwa kuwa pale kulimpa connection kibao na wasanii wakubwa na producers wengine walikuwepo pale.

Nasisitiza wanalipwa lakini sio kwa kiasi kikubwa kama tunavyotaka kuamini lengo hasa ni wasanii wajuaje na kupeana connection huku Coca Cola wakifanya matangazo yao ya kibiashara.

Asante.
 
Hv kumweka fally pupa nairobi coke studio mtu anafananisha na fiesta na maproduser nguli wa africa km mafurisaa wa SA sio jambo dogo malipo ni makubwa na kule ni kipaji kinaitajika saaana sio kuimbia cd kule ni live band na kuwa creative kuimba nyimbo ya msaanii mwenzako kwa lugha yao na baadae mkae chini mtunge nyimbo yenu.hai diamond na alikiba mwaka jana walichemsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…