Ni kweli kuna wakati fulani tulikuwa tukijaribu kuwafuata wale wana-Mapinduzi (walipokuwa hai na wapo mapumzikoni -sio ulingoni) watueleze kilichojiri na walivyoshiriki siku ile- wapi hatukupata ukweli bali tulibabaishwa tu na ah. basi tukatangaza tu tena zile porojo.Tatizo la ndugu zetu watanganyika ni kuwa hamuielewi vizuri historia ya Zanzibar lakini nyinyi munajifanya ndio wataalamu na madaktari wa kila baya liliopo Zanzibar. Historia halisi ya Zanzibar imo kweye vichwa vya watu walioishuhudia haya mambo na sio hiyo ya kwenye vitabu vya ushabiki wa kisiasa. Cha kusikitisha ni kuwa kwa hapa Tanzania hakuna mtu hata mmoja alieishuhudia historia hii ambae yuko tayari kuielezea bila kuongeza chumvi za kisiasa, kila mmoja akiwemo Salim Ahmed Salim wanaogopa kumwaga unga wao, hii inanyima future generations haki yao ya kuujua ukweli.
Mh! sijui huyu kama kafika hata darasa la saba.Pasco, usizungumzie juu ya utawala wa sheria when you talk of Zanzibar. Hayo aliyokuwa akiyafanya Sultani kabla ya Mapinduzi yalikuwa ya sheria au tumeyasahau leo? Maovu ya Sultani yasingeliweza kuondoshwa kwa kutumia utawala wa sheria. Utawala wa sheria is a way to enslave the masses! Hilo unalijua, kwani kwetu Danganyika, with a rule of law ufisadi will always shine among our midst - wether we are under CCM, Chadema, CUF, etc!
Kusema kwamba Karume hakushiriki Mapinduzi ya Zanzibar is to tarnish the history and the revolution of Zanzibar. Mapinduzi sio kurusha mawe au kufyatua risasi, else sote tungelikuwa wana-Mapinduzi. There was a lot behind organizing the revolution than what we saw on January 12th. Without Karume the Zanzibar revolution would have failed and I am damn serious about this!. Yule jamaa alikuwa kweli shujaa, bila ya yeye bado ndugu zetu Zanzibar mpaka leo wangekuwa wametawaliwa na Sultani. Kweli akina Natepe, Said Washoto, Bavuai, Mahfudhi walifyatua risasi za mwanzo, but the brain behind them was Karume and that is why he was whisked away to DSM for the sake of the success of the revolution. He never fled to DSM as you suggested. He was taken by the ZRC to DSM for the good sake of the revolution itself.
So, what if Karume came from Malawi? Kafanya mengi kuliko wewe unaetoka Mbeya au hao mafisadi wetu wanaotoka Monduli au mimi ninaetoka Songea. Without Karume downtown Zanzibar would still have been a gutter till this date as left by the Sultan. Kaondoa vibanda mjini - nani mwengine kafanya hivyo???? He was also an economist japokuwa hakufika shule na pesa zake ndio tulizoshindia vita ya Kagera na kuweza kumuondoa yule Nduli (Iddi Amin).
So, please, let's not besmirch the good name of Karume!
Karume was a sacred person - hata Nyerere akijua hivyo. Please don't touch his name in unreliable stories. Mimi sio CCM, else nisingelikuwepo hapa, wala sio CUF. Mimi ni Mwana-Chadema halisi, but I know our past and I will never mingle it with any party feelings!
Mchana mwema Bwana Pasco!
WATU wengine bana,sasa hapa pumba iko wapi,na maswala ya darasa yanakujaje, DONT hit the keyboard just for the sake-bring in something constructiveMh! sijui huyu kama kafika hata darasa la saba.
PASCO HESHIMA KWENDA MBELE MKUU.. MFUNZE HUYU,INAONEKANA ELIMU NDOGO MAANA KAANDIKA PUMBA TUPU.
kuandika kizungu ndo kusoma mkuu? pumba maana sikufurahishwa na maelezo yake kwanza ni uongo mtupu alichoongea halafu na kajaribu kuwakashifu kundi flani wakati si kitu cha kweli,chuki zake za ki-CCM analeta hapa.
sasa huyo polisi aliyetoa silaha,Edington kisasi aliishia wapi? NA je huyu somebody HANGA je did he play any part katika haya mapinduzi?
Ndugu Nkazahau, Kwa kweli mimi sina haja ya kuuendeleza huu mjadala. Karume ni wenu nyinyi na kama mnamuona hakufanya kitu hilo ni lenu nyinyi. Sisi katuletea balaa la milele. Kama unavyosikia kuwa Pemba jana vurugu zishaanza tena. Zanzibar to us is a thorn in our ass! Kama nyinyi hamuutaki Muungano sisi hatuutaki mara mia. Mnatutia aibu internationally na huo ugomvi wenu baina ya wapemba na wazanzibari usiokwisha maisha katika kila uchaguzi!!!.
Øchama kilikuwa tayari kinasambaratika na hakikuwa na uwezo wa kukaa chini na kupanga hata kikao cha ndani mbali mapinduzi?, Sasa unatueleza Mapinduzi yalikuwa organized na Hizbu wenyewe?
Othman Sherrif, Moyo, Idiria, Hanga na mlevi Jumbe na wengine hawakujua mipango ya Mapinduzi. Karume alikuwa hawaamini wasomi tokea hapo mwanzo, kwani wangetoa siri. Karume aliwaamini akina Seif Bakar, Saidi Washoto, Bavuai, etc - watu ambao hawakupita shule kama yeye. In fact kama Karume angelijua kuwa atakufa siku ile, basi angelimuachia urais wa Zanzibar hayati Seif Bakar!
ØKarume alikuwa na average intelligence, alikuwa ni layman with a good common sense - period. Angalia kila alichokifanya utakiona kuna common sense lakini hakuna deep understanding,
Sasa tueleze ni kipi kilichofanyika tokea 1972 ambacho kina deep understanding na sustainability hata tunafika kusema kuwa Karume yeye alikosea? Ni hizo picha za video za porno za wasichana wa ki-zanzibari tunazoziona nje siku hizi? Kukosa Karume Michenzani ingelibakia bwawa la maji machafu mpaka leo. Kukosa Karume TV isingelifika Zanzibar milele. If you say that is an average intelligence, then it is better to have that. Common sense is indeed very uncommon with many people. Only intelligent people like Karume have common sense. Most of us dont have it though it is said to be common!.
Øjee unajua kwamba mwenyekiti wa kwanza wa baraza la mapinduzi ni Okello na sio Karume?
That makes sense. It took days to find out that the revolution succeeded. Sasa kama Karume angelirejea haraka haraka na siku yapili mngereza kaleta majeshi je ingelikuwa vipi? Nyerere hakutaka Karume arejee Zanzibar siku yapili baada ya Mapinduzi wakati Mapinduzi yalikuwa hayajatambulika na ndio maana akamueleza Karume angojee kwanza kule Bagamoyo mpaka mambo yakae sawa na hapo ndipo alipopata ukumbi Okello ili pasiwepo vacuum!
Okello katokea Pemba alikokuwa akipiga matuta na alikuwa hana mtu Zanzibar anaemjua na kwahivyo asingeliweza ku-organize mapinduzi. Pia Okello asingeliweza kumjua yule ndugu yetu Mchaga Edington Kisasi (Police Officer in the Sultans army) ambae ndie aliyetoa bunduki Bomani na zikafanikisha Mapinduzi. Hio kusema mmepindua kwa mapanga na mashoka ni nyimbo za watoto wa shule tu. Mapinduzi bila ya huyu Mchaga yangelikuwa magumu, kwani yasingelipata silaha ya kuenda kuiteka ile kambi nyengine.
Jambo alilokosea Nyerere ni kuwa pale Karume alipotaka Muungano ili asalimike na wamanga Nyerere angelimueleza kuwa achanganye nchi kabisa na sio kumkubalia nusu nusu kama walivyofanya. Karume was not interested in the Union, lakini Nyerere [/QUOte
Haya maelezo yako hapo juu just proved my case, hizo takwimu na hayo majina ya watu yote yanaupotosha ukweli, watanganyika hamuijui historia ya Zanzibar munachupiachupia tu na mukianza kuwa challenged basi munaleta chuki zenu kwa wazanzibari, sasa haya ya "zanzibar to us is a thorn in our a--" yametokea wapi tena, maana sikumbuki kama tulikuwa tuna discuss kuhusu zanzibar kwenu ni nini?, kama ningelikuwa na muda basi ningelipigishana kelele na wewe lakini naona itakuwa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa so I rest my case.
Asante kukumbushia Col. Mahafudh. Huyu ni miongoni mwa ma strategists wa Zanzibar Revolution, yeye, akina Abrahaman Mohamed Babu.Feild Marshal John Okello, Abdalah Said Natepe na wengine. Siku ya mapinduzi yenyewe, January 12, Karume aliikimbia Zanzibar na kujificha bara. Baada ya mapinduzi, ikaamuliwa Karume aliongoze Baraza la Mapinduzi kwa heshima tuu lakini power halisi zilikuwa zishikwe na Okello, Mnganda. Hili lilimuogopesha Karume, akamwambia Julius amuite Okello Dar, Tarehe 14 January 1964, baada ya ile picha ya pamoja ya Baraza la kwanza la Mapinduzi, John Okello alitwa Dar na masikini kumbe ndio ilikuwa safari yake ya mwisho.
Taarifa za ujio wa Okello Dar zilizagaa ambapo wajeshi walimsubiri kama shujaa.
Okelo alipofika tuu bara, badala ya mapokezi ya kishujaa, alipokelewa na detention kitu kilichowatia wazimu wajeshi ambao nao tarehe 18-20 Wakafanya Maasi na sasa ilikuwa ni zamu ya Julius kutoroshwa kwa boti kufichwa Zanzibar.Jaribio likazimwa, jeshi likavunjwa na kuundewa upiya chini ya Sarakikya.
Upande wa Zanzibar, ikumbukwe Karume (Mmalawi) hakushiriki physically aliwekwa tuu sasa aliwageuka wenzake akajipa madaraka yote in full na akawa hasikilizi tena ushauri wala cha mtu, ni yeye na Julius tuu.
Hata uamuzi wa kuungani aliufanya Karume sio kwa mapenzi na wabara, bali convenience ya usalama wa Zanzibar dhidi ya maadui nwa ndani, waliofanikisha mapinduzi na maadui wa nje, manowari ya Muingereza ulikuwa umeshatia nanga Lamu.
Baada ya Karume kujitwalia madaraka yote, yako maovu aliyoyafanya ambayo hata Julius hakuyaunga mkono, alisitisha utawala wa sheria, aliyonga kila aina ya wahalifu. Aliruhusu weusi wajitwalie vibinti vya kiarabu kwa kuwabaka, ikumbukwe baba zao ndio waliochinjwa wakati wa mapinduzi, no wonder kwa nini Wazanzibari wana jazba sana.
Ndipo mipango ya kumfix Karume ikafanywa ndani kwa ndani, azma iliyotimizwa 1972. Wako watu waliongamia akiwemo Shamte, baba wa Mwandishi/Mhariri wa Makala wa gazeti la Mwanachi na corespondent wa Sauti ya Ujerumani, Deustche Welle (Dochi Vella), Bi. Hawra Shamte.
Abdulrahaman Mohamed Babu na Col. Mahafudh waliepuka kifo kwa kukingiwa kifua na Julius, walitiwa kizuizini na kusalimishwa roho zao kwa Babu kukimbizwa uhamishoni London na Mahafudha kuchukuliwa na Samora.
Aliyekuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki na Makamo Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora, Mahafudha Hamid Alley maarufu kama Untie Ummie, ni binti wa Col. Mahafudh, na wanaomfahamu huyu mama kwa karibu, ni miongoni mwa wanawake wachache wa shoka toka visiwani Zanzibar wenye misimamo isiyotetereka kwa jambo wanaliamini.[/Q
huyu aunt ummie alley hana uhusiano kabisa na mahfoudh huyu ni mtoto wa mzee mmoja mwenye asili ya tabora (mnyamwezi) mohamed alley na mama mmoja mwenye asili ya kiarabu fatma ali al-marejb. mahfudha hamid alley ni dada wa baba na mama mmoja na dj chuchu pale znz.
wandugu kusema kwamba marehemu Abeid Karume aliruhusu waafrika wawabake mabinti wa kiarabu itakuwa ni makosa na uzushi ,nafikiri wengi mnayajua mapinduzi yaliyotokea visiwani kupitia watu wenye chuki za kibinafsi na watu wa visiwani,ukweli wa mambo ni kuwa hayati Abeid Karume alijaribu kuondoa baadhi ya vikwazo vilivyokuwa vimewekwa na utawala wa kibaguzi wa waarabu,zamani kabla ya mapinduzi ilikuwa hairuhusiwi kwa mwafrika yeyote kumuoa binti wa kiarabu au kihindi huko visiwani na ndio maana alipojitwalia madaraka kitu cha kwanza kilikuwa ni kuwachafua sultans kwa kuondoa sheria zao za kibaguzi dhidi ya waafrika ambao ndio wenye nchi yao.Alichokifanya Abeid Karume ilikuwa ni kuruhusu mwafrika yeyote yule kama kuna mtoto wa kiarabu au kihindi kampenda na anamtaka kumuoa aende report kwenye office maalum na atahahakikishiwa kuozeshwa huyo binti kwa hiari au kwa kutumia nguvu,wengi sana walijitwalia vibinti vya kiarabu kupitia njia hiyo mara baada ya kumtoa sultani visiwani.Wengi wenu hamjui nini sultani aliwatetendea watu weusi visiwani,huwezi kuamini kuwa visiwani enzi za sultani kulikuwa kama apartheid regime ya Africa Kusini,ubaguzi ulikuwa ni mtindo mmoja dhidi ya mtu mweusi na ndio maana hizo elements za kibaguzi zingine bado zinaendelea visiwani hadi leo,na hata hawa jamaa zetu wa visiwani hivi leo wengine chuki zao dhidi ya wabara zinashinikizwa na ubaguzi bado umo ndani ya damu zao hawa jamaa ni wabaguzi sana watakuthamini ka rangi yako ni brown ka ya baadhi yao na ukiwa ka mwenzangu mimi utabaguliwa kama kazi mbele yao huwezi kuthaminiwa mimi nimejionea mwenyewe hizi tabia za kurithi kutoka kwa Sultans,inasikitisha sana kuona kasumba kama hizi bado zinaendelea mpaka hivi leo.Utakuta mzanzibari mweusi hata kutushinda sisi wabara na bado atajinasibu kuwa yeye ana damu ya waarabu au wairani ni aibu tupu sisi waafrika tunaionyesha dunia,kuna kipindi kimoja kilikuwa kinaendeshwa na mmarekani mmoja mweusi kilionyeshwa jamaa alikwenda nchini Kenya sehemu za coastal region na alifanya mahojiano flani na jamaa wa swahili na walijinasibu kuwa wao sio waafrika walijinasibu kuwa wao ni wairani kabila la Shirazi,ni kweli labda walikuwa wana hiyo damu au back ground ya hiyo kabila lakini hiyo ni story ya zamani sana jamaa alishangaa sana kuwasikia wakisema kuwa wao sio waafrika,sasa tabia ka hizo ni bado zinaendelea mpaka leo visiwani na ndio maana hayati Karume na mzee Kambarage waliamua kuwapelekea jitu kama Okello kuwatisha waarabu ni kweli wengi walishindwa pigana baada ya kusikia jitu likiongea katika radio station ya visiwani kwa accent ya ajabu sana,jamaa ni ya kumleta ilikuwa ni kufanya intimidation dhidi ya waarabu.Kwa leo ni hayo tuu.

Au ulitaka mpaka wapanda minazi na washona viatu nawao waowe watoto wa kihindi?
Hii naona hata sasa hivi haiwezekani