ngida eti kweli katika hili pilikapilika la kuoa kinguvu,Thabit kombo alioa mdosi kwa nguvu.waziri mkuu wa india akamuomba nyerere aingilie ili swala la watu kuozeshwa kinguvu-to the dismay of the world nyerere was powerless kumwambia strongman karume anything
ngida1,nakumbuka pal maktaba ya taifa,with my own eyes nilisoma a 1964 copy of the standard if me is not mistaken,waziri mkuu wa india alimuomba nyerere aingilie kati what was happening in zanzibar,akina dada wengi wa kiasia rather then be forced into marriage walicommit sucide.nyerere remained mum,a worldwide condemnation of the anarcy in zanzibar ensued-Historians ARE STILL PUZZLED AS TO WHY NYERERE DID NOTHING ABOUT THIS,was he afraid of strongman Karume?
Asante kukumbushia Col. Mahafudh. Huyu ni miongoni mwa ma strategists wa Zanzibar Revolution, yeye, akina Abrahaman Mohamed Babu.Feild Marshal John Okello, Abdalah Said Natepe na wengine. Siku ya mapinduzi yenyewe, January 12, Karume aliikimbia Zanzibar na kujificha bara. Baada ya mapinduzi, ikaamuliwa Karume aliongoze Baraza la Mapinduzi kwa heshima tuu lakini power halisi zilikuwa zishikwe na Okello, Mnganda. Hili lilimuogopesha Karume, akamwambia Julius amuite Okello Dar, Tarehe 14 January 1964, baada ya ile picha ya pamoja ya Baraza la kwanza la Mapinduzi, John Okello alitwa Dar na masikini kumbe ndio ilikuwa safari yake ya mwisho.
Taarifa za ujio wa Okello Dar zilizagaa ambapo wajeshi walimsubiri kama shujaa.
Okelo alipofika tuu bara, badala ya mapokezi ya kishujaa, alipokelewa na detention kitu kilichowatia wazimu wajeshi ambao nao tarehe 18-20 Wakafanya Maasi na sasa ilikuwa ni zamu ya Julius kutoroshwa kwa boti kufichwa Zanzibar.Jaribio likazimwa, jeshi likavunjwa na kuundewa upiya chini ya Sarakikya.
Upande wa Zanzibar, ikumbukwe Karume (Mmalawi) hakushiriki physically aliwekwa tuu sasa aliwageuka wenzake akajipa madaraka yote in full na akawa hasikilizi tena ushauri wala cha mtu, ni yeye na Julius tuu.
Hata uamuzi wa kuungani aliufanya Karume sio kwa mapenzi na wabara, bali convenience ya usalama wa Zanzibar dhidi ya maadui nwa ndani, waliofanikisha mapinduzi na maadui wa nje, manowari ya Muingereza ulikuwa umeshatia nanga Lamu.
Baada ya Karume kujitwalia madaraka yote, yako maovu aliyoyafanya ambayo hata Julius hakuyaunga mkono, alisitisha utawala wa sheria, aliyonga kila aina ya wahalifu. Aliruhusu weusi wajitwalie vibinti vya kiarabu kwa kuwabaka, ikumbukwe baba zao ndio waliochinjwa wakati wa mapinduzi, no wonder kwa nini Wazanzibari wana jazba sana.
Ndipo mipango ya kumfix Karume ikafanywa ndani kwa ndani, azma iliyotimizwa 1972. Wako watu waliongamia akiwemo Shamte, baba wa Mwandishi/Mhariri wa Makala wa gazeti la Mwanachi na corespondent wa Sauti ya Ujerumani, Deustche Welle (Dochi Vella), Bi. Hawra Shamte.
Abdulrahaman Mohamed Babu na Col. Mahafudh waliepuka kifo kwa kukingiwa kifua na Julius, walitiwa kizuizini na kusalimishwa roho zao kwa Babu kukimbizwa uhamishoni London na Mahafudha kuchukuliwa na Samora.
Aliyekuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki na Makamo Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora, Mahafudha Hamid Alley maarufu kama Untie Ummie, ni binti wa Col. Mahafudh, na wanaomfahamu huyu mama kwa karibu, ni miongoni mwa wanawake wachache wa shoka toka visiwani Zanzibar wenye misimamo isiyotetereka kwa jambo wanaliamini.
lakini ngida1,uoni kwamba karume was only thinking of the present rather then the future,opportunity cost ya hizo tv na hayo majengo yaliyokuwa marefu kwa kwenda chini ni the education system which he did not invest in,leo hii ma intellectuals ni wa kuhesabu zanzibar,kisiwa kiko mark time,stagnant matokeo watu wako frustuated wanatafuta scapegoats which happens to be muungano
Dear Nd. Son of Alaska,
DIV { MARGIN:0px;}Mimi sio kama ninampenda Karume. Pia, sio kama ninasema kuwa hakufanya makosa kule ZNZ. Karume ruled ZNZ hardly for 8 years (1964-1972) out of ZNZ's post-Sultan era of 45 years (1964-2009). Are we being FAIR and JUST to Karume tunaposema kuwa ...."leo hii ma intellectuals ni wa kuhesabu zanzibar,kisiwa kiko mark time,stagnant matokeo watu wako frustuated wanatafuta scapegoats which happens to be muungano"Sasa tokea hio 1972 hadi leo (37 years) sisi tunafanya nini hata tunamlaumu yeye aliye-rule only for 8 years? Kama Karume bado angelikuwa madarakani mpaka leo hii hapo kweli tungelimlaumu, lakini yeye kapita tu for 8 years na katuachia wenyewe balaa letu na bado tunamsakama yeye.
Kujibu maelezo yako ya hapa juu ni kuwa: In 1964 after the success of the people's revolution he shook the education system in ZNZ to its very concrete foundation - pale alipotoa matokeo mapya ya Entrance Examination to Form1 na aka-cancel yale matokeo bandia yaliyotolewa na vibaraka wa Sultani. Chini ya Sultani 98% ya nafasi za kusoma Form 1 zilikuwa wakipewa wahindi na waarabu, waafrika waliyokuwa wengi wakipewa only 2%. Hii sio kasumba. Huu ni ukweli usiopingika!Karume alitangaza (to the surprize of many in DSM including Eliufoo) elimu bure kwa kila M-zanzibari irrespective of one's colour or creed. Elimu bure ilikuwa hata kwa wahindi na waarabu. Karume hakubagua. Is this not investing in education for the future? Kufanya hivyo Karume hakuwa anaweka misingi ya kupata local intellectuals in Zanzibar?Mimi ni Mtanganyika kama wewe, lakini naona sababu ya ZNZ ku-mark time in development ni sisi wa-Bara na sio Karume. Else, ZNZ ingelikuwa mbali leo kama ingelikuwa kweli inauhuru wake kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Tunaibinya sana ZNZ na wala haiwezi kupumua au kuibuka tena.Walitaka kuifanya Zanzibar Port kuwa free port sisi wa-Bara tumewakatalia.Walitaka kujiunga na World Islamic Organization ili wapate misaada, nasi tukawafanyia roho mbaya (kama desturi zetu), bila ya kujali kuwa wakipata wao ndio tumepata sisi.Mizigo inalipiwa kodi ZNZ na ikija Bara inalipiwa tena kwasababu huko ZNZ tunasema walikosea - as a result Zanzibar Port siku hizi hukuti hata Container moja linashushwa! Chaguzi zao tunazizuwia sisi zisiwe huru. Tukiona wanataka kumchagua mtu wanaemtaka wao tunapeleka vifaru ZNZ au tunawangojea Dodoma tuwale ngwara.Anaetaka kugombea urais ZNZ mpaka kwanza apendeze kwetu sisi wa-Bara na sio kwa wa-Zanzibari.When it comes to natural resources, rasilimali zao ni zetu sote, lakini zetu ni zetu peke yetu na sio zao - yaani wakipata mafuta yatakuwa ni yetu sote kwa pamoja, lakini dhahabu yetu ni yetu peke yetu! This is silly, stupid and absurd to the core! It causes me to vomit! How can we Tanzanians today support such an oppressive Constitution? How can we perpetrate such economic injustices to our own bretheren? Hii ni aibu kwetu kuwafanyia wa-Zanzibari kitu kama hichi. Halafu eti tunasema wanatafuta scapegoat. Hawatafuti scapegoat. Bara inaidhalilisha ZNZ kiuchumi na kisiasa na pale waZNZ watakapoamua kutoka kwenye Muungano, then, we will only have ourselves to blame. Zanzibar sio kuwa haina ma-intellectuals, lakini wote walikimbia kutokana na siasa mbaya zilizofuata baada ya 1972. Serikali ya Oman leo inaendeshwa na wa-zanzibari. Wa-zanzibari pia wana-positions nzuri nzuri kule Dubai, Bahrain and throughout the Gulf region. Why? Because our brothers are hardworking people. Tizama leo walivyoiteka nyara Bara kibiashara. Bara leo cannot afford to miss the services of Zanzibaris. Nilikuenda Tabora ndani hata wenyeji hakuna na nilistaajabu kukuta maduka ya wa-Zanzibari!At least Karume katika hio miaka yake 8 kawajengea watu wake hayo majumba marefu na TV, japokuwa kafanya hivyo bila ya "deep understanding" kama alivyoandika rafiki yangu mmoja. Nenda leo Kwamtipura kule Zanzibar na kwengineko ukaone umaskini na vibanda vibovu wanavyoishi watu. Tumbo linaweza kukupinduka hapo hapo! Inasikitisha sana sana tena sana kuona kuwa serikali ya mwafrika inamuacha mwafrika iliyompigania kumgomboa kutoka ukoloni aendelee na maisha ya ufukara na duni.Sio kuukumbatia ufisadi tu, au kusema "na hapa pangu", our aim must be to take deliberate actions to extricate the majority from the quagmire of poverty and misery in which they are wallowing. This is exactly what Karume had in mind!
Dear Nd. Son of Alaska,
DIV { MARGIN:0px;}Mimi sio kama ninampenda Karume. Pia, sio kama ninasema kuwa hakufanya makosa kule ZNZ.
Karume ruled ZNZ hardly for 8 years (1964-1972) out of ZNZ's post-Sultan era of 45 years (1964-2009). Are we being FAIR and JUST to Karume tunaposema kuwa ...."leo hii ma intellectuals ni wa kuhesabu zanzibar,kisiwa kiko mark time,stagnant matokeo watu wako frustuated wanatafuta scapegoats which happens to be muungano"
Sasa tokea hio 1972 hadi leo (37 years) sisi tunafanya nini hata tunamlaumu yeye aliye-rule only for 8 years? Kama Karume bado angelikuwa madarakani mpaka leo hii hapo kweli tungelimlaumu, lakini yeye kapita tu for 8 years na katuachia wenyewe balaa letu na bado tunamsakama yeye.
Kujibu maelezo yako ya hapa juu ni kuwa: In 1964 after the success of the people's revolution he shook the education system in ZNZ to its very concrete foundation - pale alipotoa matokeo mapya ya Entrance Examination to Form1 na aka-cancel yale matokeo bandia yaliyotolewa na vibaraka wa Sultani. Chini ya Sultani 98% ya nafasi za kusoma Form 1 zilikuwa wakipewa wahindi na waarabu, waafrika waliyokuwa wengi wakipewa only 2%. Hii sio kasumba. Huu ni ukweli usiopingika!
Karume alitangaza (to the surprize of many in DSM including Eliufoo) elimu bure kwa kila M-zanzibari irrespective of one's colour or creed. Elimu bure ilikuwa hata kwa wahindi na waarabu. Karume hakubagua. Is this not investing in education for the future? Kufanya hivyo Karume hakuwa anaweka misingi ya kupata local intellectuals in Zanzibar?
Mimi ni Mtanganyika kama wewe, lakini naona sababu ya ZNZ ku-mark time in development ni sisi wa-Bara na sio Karume. Else, ZNZ ingelikuwa mbali leo kama ingelikuwa kweli inauhuru wake kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Tunaibinya sana ZNZ na wala haiwezi kupumua au kuibuka tena.
Walitaka kuifanya Zanzibar Port kuwa free port sisi wa-Bara tumewakatalia.
Walitaka kujiunga na World Islamic Organization ili wapate misaada, nasi tukawafanyia roho mbaya (kama desturi zetu), bila ya kujali kuwa wakipata wao ndio tumepata sisi.
Mizigo inalipiwa kodi ZNZ na ikija Bara inalipiwa tena kwasababu huko ZNZ tunasema walikosea - as a result Zanzibar Port siku hizi hukuti hata Container moja linashushwa!
Chaguzi zao tunazizuwia sisi zisiwe huru.
Tukiona wanataka kumchagua mtu wanaemtaka wao tunapeleka vifaru ZNZ au tunawangojea Dodoma tuwale ngwara.
Anaetaka kugombea urais ZNZ mpaka kwanza apendeze kwetu sisi wa-Bara na sio kwa wa-Zanzibari.
When it comes to natural resources, rasilimali zao ni zetu sote, lakini zetu ni zetu peke yetu na sio zao - yaani wakipata mafuta yatakuwa ni yetu sote kwa pamoja, lakini dhahabu yetu ni yetu peke yetu! This is silly, stupid and absurd to the core! It causes me to vomit! How can we Tanzanians today support such an oppressive Constitution? How can we perpetrate such economic injustices to our own bretheren? Hii ni aibu kwetu kuwafanyia wa-Zanzibari kitu kama hichi. Halafu eti tunasema wanatafuta scapegoat. Hawatafuti scapegoat. Bara inaidhalilisha ZNZ kiuchumi na kisiasa na pale waZNZ watakapoamua kutoka kwenye Muungano, then, we will only have ourselves to blame.
Zanzibar sio kuwa haina ma-intellectuals, lakini wote walikimbia kutokana na siasa mbaya zilizofuata baada ya 1972. Serikali ya Oman leo inaendeshwa na wa-zanzibari. Wa-zanzibari pia wana-positions nzuri nzuri kule Dubai, Bahrain and throughout the Gulf region. Why? Because our brothers are hardworking people. Tizama leo walivyoiteka nyara Bara kibiashara. Bara leo cannot afford to miss the services of Zanzibaris. Nilikuenda Tabora ndani hata wenyeji hakuna na nilistaajabu kukuta maduka ya wa-Zanzibari!
At least Karume katika hio miaka yake 8 kawajengea watu wake hayo majumba marefu na TV, japokuwa kafanya hivyo bila ya "deep understanding" kama alivyoandika rafiki yangu mmoja. Nenda leo Kwamtipura kule Zanzibar na kwengineko ukaone umaskini na vibanda vibovu wanavyoishi watu. Tumbo linaweza kukupinduka hapo hapo!
Inasikitisha sana sana tena sana kuona kuwa serikali ya mwafrika inamuacha mwafrika iliyompigania kumgomboa kutoka ukoloni aendelee na maisha ya ufukara na duni.
Sio kuukumbatia ufisadi tu, au kusema "na hapa pangu", our aim must be to take deliberate actions to extricate the majority from the quagmire of poverty and misery in which they are wallowing. This is exactly what Karume had in mind!
Nafahamu kuwa hupeleki kiongozi vitani lakini baada ya mapinduzi kutokea kwenye vikao vya mwanzo vya majadiliano na mataifa makubwa (ambavyo wote walishiriki) Karume hakuwa na sauti mbele ya Okello, sasa wewe kama ndio amiri jeshi mkuu kwa nini unamwachia lieutenant wako atoe maamuzi yote?, hii ni sawa na kumuona Nyerere anamuachia Brigedia Peter Marwa atoe maamuzi yote kwenye vikao walivyoshiriki pamoja baada ya kuikomboa Uganda, sasa kama wewe ndio field marshal vita vishaisha kwa nini huonekani kuwa kiongozi mbele ya lieutenant wako?, jee unajua kwamba mwenyekiti wa kwanza wa baraza la mapinduzi ni Okello na sio Karume? duh. ...
<Haya maelezo yako hapo juu just proved my case, hizo takwimu na hayo majina ya watu yote yanaupotosha ukweli, watanganyika hamuijui historia ya Zanzibar munachupiachupia tu na mukianza kuwa challenged basi munaleta chuki zenu kwa wazanzibari, sasa haya ya "zanzibar to us is a thorn in our a--" yametokea wapi tena, maana sikumbuki kama tulikuwa tuna discuss kuhusu zanzibar kwenu ni nini?, kama ningelikuwa na muda basi ningelipigishana kelele na wewe lakini naona itakuwa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa so I rest my case>.
Nd. Nkazahau,
Sasa ndugu yako Calipso anakutegemea wewe utosomeshe sisi Watanganyika wa darasa la saba na wewe naona unaikimbia kazi hio. Ni kweli kabisa kuwa mimi sitokufahamu na wala sina haja ya kukufahamu na itakuwa kama unampigia mbuzi gitaa tu, lakini wengine hapa JF ni binaadamu kama wewe na wangekufahamu vizuri sana na wangejua ukweli ni upi.
Ukweli gani huo unaopotoshwa kuhusu Zanzibar? Mapinduzi kwani hayakutokea kweli? Au mnataka jina la Karume liwe blackened out from the history books of Zanzibar?
Au kwasababu nimemwita Karume shujaa na genius? Au kwasababu nimemgusa Sultani? Kama ni hilo mnalolitaka basi kila penye jina la Karume tutatia jina la Sultani maanake huyo Sultani ndio ugonjwa wenu mkubwa!
Au huyo Edington Kisasi nae hakuwepo kweli na wala hakushiriki kabisa katika Mapinduzi sawa na Karume - kama mnavyoeleza? Au nimechukiza kwasababu nimeandika kuwa Kisasi alikuwa ni Mchaga? Yeye alikuwa ni Mchaga jina tu, but he identified himself as a true Zanzibari kwa maneno na kwa vitendo vyake vya January12th, 1964, and he loved Zanzibar just like any other true Zanzibari.
Øwatanganyika hamuijui historia ya Zanzibar munachupiachupia tu
That is true. Sasa kwanini hamuitumii hii nafasi mkapata kutuelimisha sisi Watanganyika wa darasa la saba? The truth is that tunakujuweni vizuri sana. Usisahau kuwa tupo na nyinyi pamoja for 45 years now. Please, pray to Almighty God to keep us united for another 45 years! Else, mwenyewe unajua nini matokeo yatakuwa pale Watanganyika tutakaposema tumechoka!!!!
Ngida1 said:Tizama leo w
Ngida1 said:alivyoiteka nyara Bara kibiashara. Bara leo cannot afford to miss the services of Zanzibaris. Nilikuenda Tabora ndani hata wenyeji hakuna na nilistaajabu kukuta maduka ya wa-Zanzibari!
ngida1 said:When it comes to natural resources, rasilimali zao ni zetu sote, lakini zetu ni zetu peke yetu na sio zao - yaani wakipata mafuta yatakuwa ni yetu sote kwa pamoja, lakini dhahabu yetu ni yetu peke yetu! This is silly, stupid and absurd to the core!
ngida1 said:Mizigo inalipiwa kodi ZNZ na ikija Bara inalipiwa tena kwasababu huko ZNZ tunasema walikosea - as a result Zanzibar Port siku hizi hukuti hata Container moja linashushwa!
mmh, hiki kiswahili cha "kukufahamu" asili yake sio bara.
hata hivyo shukurani kwa jitihada za kuweka historia ya mapinduzi
sawa.
Sijui source yako ya hii habari inatoka wapi lakini it's a well known fact kwamba hakushiriki na kwamba kuna strong evidence kuonyesha hivyo, kuna vitabu vimeandikwa na independent writers (sio wana mapinduzi au waliopinduliwa) kuhusu hili jambo visome halafu come to your own conclusion, kimojawapo kinaitwa "Zanzibar Revolution: An American Cold War Tale" by Don Peterson, huyu Don Peterson alikuwa ni Mmarekani pekee aliekuwepo ubalozi wa Marekani Zanzibar katika kipindi chote kabla na baada ya mapinduzi na alishiriki katika majadiliano baina ya Revolutionary Council na serikali za Marekani/UK, majadiliano yalihusu mambo mengi yakiwemo kuwaachia raia wa nchi hizi kupanda manuwari ya kimarekani iliyokuja kuwachukua na pia kuhusu Marekani/UK kuyatambua mapinduzi, nchi hizi hazikuyatambua mapinduzi na ilipita zaidi ya miezi miwili mpaka kuyatambua!!!!. Yeye kwa ufupi anasema kuwa hata katika majadiliano yao kiongozi alikuwa ni Okello na sio Karume, uamuzi wa mwisho ukitoka kwa Okello, sasa kama wewe ndio kiongozi wa Mapinduzi inakuwaje maamuzi ya mwisho anakuwa nayo Okello - inaeleweka hii?.
Vile vile katika chama cha ASP kulikuwa kuna kundi ambalo lilitaka kufanya kila njia ili chama hicho kitwae madaraka na kundi ambalo lilitaka ASP iheshimu mfumo wa siasa uliokuwepo (akiwemo Sultani) na wafanye mgomo baridi ndani ya baraza la kutunga sheria (bunge) la Zanzibar, Karume alikuwa kwenye kundi hili la mgomo baridi na wala hakuwafiki mambo ya fujo pengine akiogopa yatakayomfika pindi wakishindwa.
La mwisho na ombi kwa wale wanaoweza wamuulize Natepe ukweli ni upi, nasikia keshasema kuna kitabu kakiandika kuhusu mapinduzi na kitachapishwa akishafariki maana anaona wasaliti wa mapinduzi leo wanaitwa wana mapinduzi!!!!! - habari ndo hiyo.
Ila Ummi Mahfudha si binti ya Col. Mahfudh. Ni mwana wa Waziri mwingine nimemsahau jina linaishia na Alley. Alikuwa Waziri wa Uchumi wakati wa serikali ya Shamte.Asante kukumbushia Col. Mahafudh. Huyu ni miongoni mwa ma strategists wa Zanzibar Revolution, yeye, akina Abrahaman Mohamed Babu.Feild Marshal John Okello, Abdalah Said Natepe na wengine. Siku ya mapinduzi yenyewe, January 12, Karume aliikimbia Zanzibar na kujificha bara. Baada ya mapinduzi, ikaamuliwa Karume aliongoze Baraza la Mapinduzi kwa heshima tuu lakini power halisi zilikuwa zishikwe na Okello, Mnganda. Hili lilimuogopesha Karume, akamwambia Julius amuite Okello Dar, Tarehe 14 January 1964, baada ya ile picha ya pamoja ya Baraza la kwanza la Mapinduzi, John Okello alitwa Dar na masikini kumbe ndio ilikuwa safari yake ya mwisho.
Taarifa za ujio wa Okello Dar zilizagaa ambapo wajeshi walimsubiri kama shujaa.
Okelo alipofika tuu bara, badala ya mapokezi ya kishujaa, alipokelewa na detention kitu kilichowatia wazimu wajeshi ambao nao tarehe 18-20 Wakafanya Maasi na sasa ilikuwa ni zamu ya Julius kutoroshwa kwa boti kufichwa Zanzibar.Jaribio likazimwa, jeshi likavunjwa na kuundewa upiya chini ya Sarakikya.
Upande wa Zanzibar, ikumbukwe Karume (Mmalawi) hakushiriki physically aliwekwa tuu sasa aliwageuka wenzake akajipa madaraka yote in full na akawa hasikilizi tena ushauri wala cha mtu, ni yeye na Julius tuu.
Hata uamuzi wa kuungani aliufanya Karume sio kwa mapenzi na wabara, bali convenience ya usalama wa Zanzibar dhidi ya maadui nwa ndani, waliofanikisha mapinduzi na maadui wa nje, manowari ya Muingereza ulikuwa umeshatia nanga Lamu.
Baada ya Karume kujitwalia madaraka yote, yako maovu aliyoyafanya ambayo hata Julius hakuyaunga mkono, alisitisha utawala wa sheria, aliyonga kila aina ya wahalifu. Aliruhusu weusi wajitwalie vibinti vya kiarabu kwa kuwabaka, ikumbukwe baba zao ndio waliochinjwa wakati wa mapinduzi, no wonder kwa nini Wazanzibari wana jazba sana.
Ndipo mipango ya kumfix Karume ikafanywa ndani kwa ndani, azma iliyotimizwa 1972. Wako watu waliongamia akiwemo Shamte, baba wa Mwandishi/Mhariri wa Makala wa gazeti la Mwanachi na corespondent wa Sauti ya Ujerumani, Deustche Welle (Dochi Vella), Bi. Hawra Shamte.
Abdulrahaman Mohamed Babu na Col. Mahafudh waliepuka kifo kwa kukingiwa kifua na Julius, walitiwa kizuizini na kusalimishwa roho zao kwa Babu kukimbizwa uhamishoni London na Mahafudha kuchukuliwa na Samora.
Aliyekuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki na Makamo Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora, Mahafudha Hamid Alley maarufu kama Untie Ummie, ni binti wa Col. Mahafudh, na wanaomfahamu huyu mama kwa karibu, ni miongoni mwa wanawake wachache wa shoka toka visiwani Zanzibar wenye misimamo isiyotetereka kwa jambo wanaliamini.