MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Taarifa zilizopo, zinasema kwamba, Kanali wa DRC, Mushonda Jacques Mukalayi, aliuwawa jana, tarehe 19 Februari, 2025.
Kwa mjibu wa vyanzo,Kanali huyu, ambaye ni Mnyamlenge, aliuliwa akiwa nyumbani kwake na walinzi wake wawili.
Mukalayi, ambaye ni mnymamulenge, alikuwa akitiliwa wasiwasi kushilikiana na wanamgambo wa kikundi cha M23, kwa kuwapa taarifa za siri za jeshi la serikali(FARDC).
Bukavu ilipoangukia mikononi mwa M23, yeye hakukimbia na kwenda na wenzake, bali alibaki kwake, nyumbani, akiwa anaumwa.
Badhi ya wanajeshi wa FARDC,wameihusisha M23 na mauaji hayo, japo uongozi haujaongea chochote.
Watu wake wa karibu, wanadai huenda akawa ameuliwa na FARDC, kwa kuwa bado kuna wanajeshi na polisi wapo uraiani na wana siraha.