Cole Palmer is the closest we have to Messi

Hivi uliwahi kumuona Messi akicheza katika umri wa huyo Cole Palmer?

Kwan taarifa yako tu katika umri huo Messi tayari alikuw na Balloon d'or
Tusilinganishe tunasema ana muelekeo wa Messi kwasasa ila hajamfikia au kumsogelea ni muelekeo naombe uelewe mkuu.
 
Wanashangaza sana, na Azizi KI awe nani?
 
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?

We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu dogo japo mimi ni mshabiki wa CFC.
Bure kabisa
 
Waingereza hawatabiriki huyo wanampamba kwasababu ni muingereza ila anajitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…