Wenzetu wanaheshimu haki za binadamu! Ingekuwa Bongo huyo angefika mahakamani akiwa kwenye wheel chair!!!Cole Tomas Allen ameshtakiwa kwa jaribio la kumuua Donald Trump baada ya kujaribu kuvamia Chakula cha Jioni cha Waandishi wa Habari wa Ikulu ya Marekani akiwa na bunduki na visu.
Allen, mwenye umri wa miaka 31, alifikishwa katika mahakama ya shirikisho huko Washington na bado yuko kizuizini baada ya jaji kuamuru azuiliwe. Pia anakabiliwa na mashtaka mawili ya silaha za moto na hajakiri mashtaka yoyote. Wakili wake alisema hana rekodi ya uhalifu na anachukuliwa kuwa hana hatia.
Angekamatwa akiwa maiti!Wenzetu wanaheshimu haki za binadamu! Ingekuwa Bongo huyo angefika mahakamani akiwa kwenye wheel chair!!!
Mahakamani kote huko? alikuwa anafutwa kwenye scene na ndugu zake walitakiwa wawe wamefungasha virago kukimbia nchi, maana wangeziona rangi zote.Wenzetu wanaheshimu haki za binadamu! Ingekuwa Bongo huyo angefika mahakamani akiwa kwenye wheel chair!!!
Bongo ni jehanamMahakamani kote huko? alikuwa anafutwa kwenye scene na ndugu zake walitakiwa wawe wamefungasha virago kukimbia nchi, maana wangeziona rangi zote.
Na samuya kwa sasa ndio Kaimu Lucifer mwenyewe.Bongo ni jehanam