Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Muigizaji nyota wa Bongo Movie nchini, Coletha Raymond amesema kuwa wanaume wengi wa kizazi hiki wanapenda sana kulelewa na wanawake waliowazidi umri.
Coletha akaongeza kwa kusema kuwa, pia kuna wanawake watu wazima ambao wanapenda mambo ya style mpya ambazo vijana wa kizazi hiki ndiyo wanazimudu tofauti na wazee.
Coletha akaongeza kwa kusema kuwa, pia kuna wanawake watu wazima ambao wanapenda mambo ya style mpya ambazo vijana wa kizazi hiki ndiyo wanazimudu tofauti na wazee.