central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Kimafia Mo alibamiza,alafu tafuta Nisamehe wapo Mo,ngwair na bamboo wa kenya aiseeeeeTuko juu ft squezer
Verse ya squeezer ilikua kali
Mafia ft Jaymoe
Design kama walitoka draw
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nisamehe naipata,Jaymoe alitisha sanaKimafia Mo alibamiza,alafu tafuta Nisamehe wapo Mo,ngwair na bamboo wa kenya aiseeeee
Ile chorus hua sichoki kuisikilizaNisamehe naipata,Jaymoe alitisha sana
Are you serious? Unataka kutuaminisha kwamba kwenye huu wimbo vesi za Nature na KR ni kali kuliko ya Ngwair?
yeah kwa mtazamo wanguAre you serious? Unataka kutuaminisha kwamba kwenye huu wimbo vesi za Nature na KR ni kali kuliko ya Ngwair?