Em' weka picha tuone kama kwel kamganda alafu ntajua nikupe jibu gan.Unaweza kuwa team Kiba wew
ally kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wameitwa AFRIMMA woote waloitwa wamefanya kazi na wasanii wa nje katika nyimbo zao dimpoz+j.martins,vee money+ko,dimond+davido&mr flavour bt ni kiba2 ndo hajaenda na "kick" ya aina hiyo...kubali kataa kiba ni jini la muziki..
wakuu nina swali dogo hapa kwa nini davido katokea kumganda kiba akitaka wafanye colabo?
Wameitwa AFRIMMA woote waloitwa wamefanya kazi na wasanii wa nje katika nyimbo zao dimpoz+j.martins,vee money+ko,dimond+davido&mr flavour bt ni kiba2 ndo hajaenda na "kick" ya aina hiyo...kubali kataa kiba ni jini la muziki..
Wameitwa AFRIMMA woote waloitwa wamefanya kazi na wasanii wa nje katika nyimbo zao dimpoz+j.martins,vee money+ko,dimond+davido&mr flavour bt ni kiba2 ndo hajaenda na "kick" ya aina hiyo...kubali kataa kiba ni jini la muziki..
weka ushahid km huna team
Duh! Nyie jamaa mnachekesha ile mbaya manake mnavyoizungumzia hiyo collabo na R-Kelly unaweza kusema ni ama personal project ya R Kelly au personal project ya Kiba! Yaani mnasahau kabisa kwamba ilikuwa ni project ya Airtel na utafikiri project yenyewe ilimpiga laana manake ikawa ndo jhiiiiii!! Ungekuwa smart ungesema ilimpaisha vipi hiyo collabo! Kitu pekee ambacho Kiba anaweza kujivunia kwenye ile collabo ni kupata kwake nafasi ya kuwa chini ya Rockstar4000 ambao hata hivyo kumbe ni wezi wa kazi za Diamond.... bwah! bwah! Bwah! Bwah! Na hawa Rockstar ambao pia wanashirikiana na Sony wala sio issue kihivyo manake hata Rose Mhando alikuwapo lakini ndo kwanza na yeye ni mtuhumiwa wa utapeli hapa mjini!!!sishangai kiba kufanya kazi na davido nitashangaa ddimond kufanya kazi na R.kelly
Duh! Kweli King Kiba kiboko! Kwahiyo ana status sawa na Queen Khadija Omar Kopa... huku King Kiba, kule Queen Khadija na wote wanagombea nafasi ya East Africa!Wameitwa AFRIMMA woote waloitwa wamefanya kazi na wasanii wa nje katika nyimbo zao dimpoz+j.martins,vee money+ko,dimond+davido&mr flavour bt ni kiba2 ndo hajaenda na "kick" ya aina hiyo...kubali kataa kiba ni jini la muziki..
Hahahaaaaa naona umeumiza watu vibaya sana kwa hii comment ndio maana nashangaa mapovu mengi!sishangai kiba kufanya kazi na davido nitashangaa ddimond kufanya kazi na R.kelly
Hahahaaaaaitakua anatafuta tobo la kukutana na r.kelly
Hahahaaaaa jamani nyie watu? Nimewachoka....wakuu nina swali dogo hapa kwa nini davido katokea kumganda kiba akitaka wafanye colabo?
Hata Ben Paul last year aliitwa afrimam usistuke sn
Mrisho mpoto na hadija kopa hawana collabl za nje co kimba tu peke ake