ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
na wewe mambo gani hayo?mke alikuwa anataka haki ya ndoa wewe unamsikiliza diamond sio vizuri.wajanja watamfundisha amsikilize nay wa mitego uanze lalamika bureNimejikuta nausikiliza huo wimbo usiku kucha hadi tumenuniana na wife, hapa sa hivi nasinzia sinzia tu ofcn, Diamond ni high level aisee kwa East Afrika.
Huyu dogo bwana,nawaonea huruma wasiompenda.ukifikir anapita mlangoni yeye anapita dirishaniUwekeni hapa tuupakue....
Wivu tu huoHuyo icon ya watoboa pua tu icon sio tz
Ni ukamerunKutoboa pua sio roho mbaya?