Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
NtumieAli Kiba ashaimba na R Kelly.
ZilipendwaaaAli Kiba ashaimba na R Kelly.
hahahahAli Kiba ashaimba na R Kelly.
Nikweli kabisa, Kiba anatoa nyimbo baada ya mashabiki kulalamikaAlikiba ana Collable na Ivon Chakachaka. Toka Mwezi wa 4 mpaka leo hajaitoa.
Kuna Watu Mziki hawaufanyi serious kabisa. Halafu wanajiita King.
Hata wivu wa maendeleo kwa mwenzake hana.
Hata hajisikii vibaya kuona anaeshindanishwa nae ana macollable mengi ya kimataifa.
Nachoona Alikiba analazimishwa na mashabiki zake kufanya mziki lakini yeye anatamani hata kuhacha leo.
HahahaaaaaAli kiba ashaimba na ommy dimpoz ila hapendi kujionesha tu
Msaada wa coke studio africaAlikiba ft patoranking
Ali kiba ashaimba na ommy dimpoz ila hapendi kujionesha tu