central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Mkuu Haiwezi kutokea π πDIZASTA VINA FT CONBOI.
Hii ndio collabo ambayo naisubiri sana kwenye game la Hip hop sijui itakuwaje. π₯π₯π₯
Akiwa na Kaa la moto, mkuu kuna mkwaju mpya unaitwa WACHEZAJI WA TIMU. Kautoa jana aiseee Dizasta hakuna mtu wakumgusa bongo linapokuja suala la hip hopMkuu Haiwezi kutokea π π
Kwa sbabu wanauimnaji tofauti..
Dizasta ni Narrative Lyrical MC,.
Na Conboi ni New school Hip hop..
Japo lolote linawezekana...
BTw umesikia Nyimbo mpya ya Dizasta achia Jala
Ngoja nikaicheck Hiyo wachezaji wa Time..Akiwa na Kaa la moto, mkuu kuna mkwaju mpya unaitwa WACHEZAJI WA TIMU. Kautoa jana aiseee Dizasta hakuna mtu wakumgusa bongo linapokuja suala la hip hop