Collabo za Diamond na Rick Ross na Rihanna zimeiva

Hapa ndiyo unaona utofauti wa Diamond na wasanii wengine wa Bongo ahsante Chibu dunia inafunguka sasa huku Africa koote ilikuwa njia
 
Namuona Diamond akiwa MTU Mkubwa sana Afrika na Duniani kwa 2017. Nadhani 2017 diamond atajitambulisha vizuri duniani. Hongera Chibu.
 
Watashindana naye lakini hawatoshinda. MOND level nyingine, a society man.
 
Diamond ft Rihanna..
Kijana atajitangaza na kutangaza TZ vyema kabisa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…