Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Nna uhakika asilimia zote huwezi kupata nyimbo mbovu za Jason Derulo na Chris Brown.
Sijui ni lini Dj Khaled atawakutanisha Chris Brown na Jason Derulo kwenye ngoma moja.
Binafsi hii Collabo nimeisubiri sana na haina dalili zozote kwamba inaweza kutokea,hakuna kabisa.
Chris Brown na Jason Derulo ni kama Xavi na Iniesta kwenye mpira.
Kuanzia kuimba wanajua saana,Dancing hapo ndio kabisaa wapo vizuri....
Kuna mtu anawaza kama mimi kuhusu hii Collabo?
#forgive Me.