Agama_Agama
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 141
- 135
Vita ndo inaimarisha uchumi?mmalekani hata kubali ataforce vita..
kwani siku zote anafanya nini?Vita ndo inaimarisha uchumi?
Hii ya saivi wanatabiri Federal Reserve haitakuwa na uwezo wa kuokoa banksmmalekani hata kubali ataforce vita..
Mkuu trend inaonyesha baada ya uchaguzi wao ndo kunakuwa na crisisKiukweli toka Obama awe Rais watu wame predict the worst so many times kiuchumi but wapi