College za mtaa udom hawajapata boom, balaa wanashindia maandazi na kujiuza bungeni

UDOM SR

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
47
Reaction score
26
Pamoja na UDOM kuwa chuo cha kata ila ndani yake kuna college mbalimbali za MTAA, sasa college zote wamepata boom kasoro college mbili ambazo ni za mitaa, College of Earth Science COES na Humanity, Wakati wanafunzi wa Humanity wakienda kujiuza bungeni kama walivyorekodiwa na clouds FM juzi kuwa wanaenda kujipanga maeneo yanayotembelewa na wabunge, Wenzao wa COES wako wanashindia maandazi na mikate pale info. Ndio maisha Ombeni mungu tu na nyie ipo siku mtapata boom mtatesa.
 
hii hatar sana namagonjwa yapo kama kawaida...mwisho wa siku mtu anamaliza na magonjwa
 
Hizo ni siasa za majitaka. Baadhi Wanafunzi mnaosoma vyuo vikuu mnapaswa kuwa wakomavu hata kama mnafikiri kuwa umri wenu ni mdogo. Unaposema chuo cha kata mara college za mtaa unamaanisha nini?
 

ivi wewe!! akili yako imeshindwa kufikiria, ukafikiria kwa makalio, pia yakashindwa kufikiria, sijui apo unaposema udom chuo cha kata unamaana gani?
Sasa kama ni chuo cha kata we mbona umeng'ang'ania kusoma apo? Kama vp mwambie babako akujengee chuo chako, we div 5 au??? Akili zingine zimejaa bangi tupu na wadudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…