(Colon Cancer) SARATANI YA UTUMBO MPANA NI HATARI

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
SARATANI YA UTUMBO MPANA NI HATARI



Habari wadau,
Mnaweza shangaa leo kuja na uzi huu wa Saratani ya Utumbo mpana, kifupi mi si tatbibu na wala sina fani yoyote ya namna hiyo, bali mambo haya yakikukuta ndo utayajua, sometime kuliko daktari mwenyewe, hasa ukiwa mtafiti wa kwanini nimepata tatizo hili ama lile, yalinikuta, haikufika kuwa saratani, labda kwa kuwa Mungu hakutaka ifike huko, lakini cha moto nimekiona, hivyo nimeona bora tuelimishane kupitia blog hii ili sote tuwe na tahadhari ya aina fulani hasa kuhusiana na magonjwa haya ya kujitakia, ndio ni ya kujitakia, yanaitwa Lifestyle Diseases ama magonjwa yasababishwayo na mitindo yetu ya maisha.

"What you eat may play a role in your risk of colon cancer. Colon cancer may be associated with a high-fat, low-fiber diet and red meat. However, some studies have found that the risk does not drop if you switch to a high-fiber diet, so this link is not yet clear.











Smoking cigarettes and drinking alcohol are other risk factors for colorectal cancer." kwa mujibu wa U.S National Library of Medicine

Ndio maana nikasema ni ya kujitakia, tafiti zaonesha "90% of chronic diseases come from infection of gastrointestinal"
na sababu kuu ni tatizo la kukosa choo, mi nilikuwa najiona sawa tu kama sijaenda haja siku moja au mbili, nikidhani ni kawaida, kumbe nilikuwa nalundika matatizo, mtu yeyote ambaye anapata mlo walau mlo mmoja kwa siku na kupitisha siku moja au zaidi bila kupata choo anatatizo la kukosa choo, sasa je weye unaye pata milo mitatu kwa siku bila kutoa uchafu huo je wadhani waenda wapi? kitaalumu tatizo hili lajulikana kama Constipation.


Wataalamu wanasema sababu ziko nyingi ikiwa ni pamoja na:-



  • Kukosa mlo kamili ama kula vyakula viingi vyenye kiwango kikubwa cha wanga na mafuta,
  • Kula vyakula vilivyokobolewa na vilivyo changanywa na madawa ili visiharibike,
  • mifumo hatarishi ya maisha (Dangeraous Lifestyles) kama vile matumizi ya pombe na sigara kwa wingi,
  • Ukosefu wa kiwango cha kutosha cha mbogamboga na matunda katika milo yetu,
  • Maji yasiyo salama,
  • Kuvuta hewa chafu,

Hizi ni baadhi tu, na hadhari zake zaweza kuwa:-

  • Chakula kutomeng'enywa vizuri (poor function of digestion system)
  • Maumivi makali wakati wa kupata choo,
  • Uchafu uliokaa muda mrefu kugeuka sumu,
  • Bakteria wenye madhara kuzaliwa na kuathiri utumbo mpana na viungo vingine mwilini.

Hii yaweza sababisha magonjwa sugu kama:

  • Saratani ya utumbo mpana (Colon Cancer)
  • Presha (Arteriosclerisis)
  • Kuongezeka uzito (Obesity)
  • Tumbo kujaa gesi
  • Magonjwa ya Ini
  • Figo kushindwa kufanya kazi vizuri,
  • Magonjwa ya ngozi,
  • Kukakamaa kwa mishipa ya damu,
  • Kisukari,
  • Magonjwa ya moyo n.k

Kama nilivyotangulia kusema kuwa mi sio tabibu, bali nilikuwa mgonjwa, sikuwa napata choo vyema, tumbo lilikuwa linajaa gesi, alafu naona nanenepa tumbo tu, nikienda uwani ni maumivu makali, nilienda hospitali nikapata dawa, lakini hazikusaidia sana, ndipo nilipopata habari ya hii Phyto Fiber, niliitafiti kwanza, nilipotumia toka siku ya kwanza niliona matokea chanya, ika Shake off tumbo langu, mpaka namaliza dozi ya wiki 2 tumbo langu na afya yangu imekuwa ok.

Pengine wapo wadau wanatatizo hilo ama wanamfaha aliye na hilo tatizo, ama nitwangie 0784475576 nitakuelekeza wapi kwa kupata suluhisho la tatizo hili.

Si lazima uwe na tatizo lolote bali ni vyema kuyafanyia usafi matumbo yetu (Intestinal tract cleansing), kwani tafiti zaonesha kuwa tumbo lisilo safi ni chanzo cha aslimia 90 ya magonjwa sugu duniani, na ugonjwa wa Saratani ya utumbo mpana unashika nafasi ya nne kwa vifo.
Ni twangie ukiwa na maoni yoyote +905013460377 fewgoodman@hotmail.com

chanzo.
 
umegusa uhalisia wa maisha husika ya kwangu.
shukrani sana. :A S 11:

inashauriwa kufanya usafi wa tumbo (Detoxify) angalau mara 2 kwa mwaka, hii itakuepusha na uwezekano wa kupata magonjwa sugu mengi, kwani asilimia 90 ya magonjwa sugu yanatokana na tumbo lisilo safi.
Watu wengi uwa wana ratiba ya kupeleka servie magari yao, au kutumia madawa ya gharama kusafisha choo, lakini hawana ratiba ya usafi wa matumbo yao.
 
Aksante kwa msaada huu, nimemuonesha mama watoto maana ni mbishi mno kwa kukoboa mahindi. Nimekusms #0737166606 , kazi ni kwako.
 
Magonjwa haya ujulikana kama Non communicable diseases, kwa mujibu wa WHO yanashika chati kwa vifo duniani, ripoti ya Mei 2012 inayopatikana ktk mtandao wao inaonesha kuwa asilimia ya 63 ya vifo duniani ilitokana na magonjwa haya ambayo yanaweza kuepukika.
 
Aksante kwa msaada huu, nimemuonesha mama watoto maana ni mbishi mno kwa kukoboa mahindi. Nimekusms #0737166606 , kazi ni kwako.

you can get this no. 1 colon cleanser and other Edmark healthy products in Dar, contact Dr Kingu no 0718441177 at Kiomboi kisiriri pharmacy Buguruni,
Ms Upendo @ Edmark international Cell: 0718945619/ 0685580226, al
 
Last edited by a moderator:
COLON CANCER 2 - Saratani ya utumbo mpana 2








Kilichonisaidia ni hii Shake off Phyto Fiber ya Edmark, ilinichukua masaa 8 tu kwenda haja na kutoa uchafu mwingi isivyo kawaida, ambao ulikuwa umerundikana tumboni, hii ni hatari, ni vyema tukafanya usafi wa matumbo yetu walau mara 2 kwa mwaka yaani kila baada ya miezi sita






Pamoja na Shake off kuna hii nayo SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL, hii ni kiboko ya matatizo mengi sana ikiwamo, Vidonda vya tumbo, Kisukari, Saratani, Moyo, Shinikizo la damu, Pumu, Kikohozi, mafua ya mara kwa mara, mzia, vidonda, vipele na harara, majipu na malaria.


Kazi kubwa ya SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL ya Edmark ni Kusawazisha kiwango cha Acid na Alkaline na kuweka mwili wako katika hali ya usawa unaotakiwa.
"Our daily diet should consist of 20% acidic and 80% alkaline food to maintain a healthy body. A healthy body should have an alkaline PH level of about 7.3 to 7.4."
"Diets based on acidic food will cause high acid levels in our body. In the long run, this will cause various illnesses such as diabetes, high cholesterol and stroke. To ensure your daily alkaline needs, we recommend Splina Liquid Chlorophyll" Prof Reg
Kijiko kimoja cha SPLINA ni sawa na kilo moja ya mboga za majani na matunda,
HEALTH BENEFITS of Splina Liquid Chlorophyll.


EXCELLENT SOURCE OF NUTRIENTS It is very high in RNA and DNA and has been found to protect against the effects of UV radiation.


INCREASES BLOOD COUNTS Assists red blood cell generation to ensure sufficient oxygen and nutrients for cell renewal. It helps to either cool or warm the body and adapt to environmental changes.


BOOSTS THE IMMUNE SYSTEM Accelerates tissue cell activity and normal re-growth of cells to help the body heal faster.


INCREASES OXYGEN SUPPLY IN THE BLOOD This helps maintain optimum blood flow all throughout the body, and regulates blood pressure to healthy levels.


REDUCES WRINKLES AND AGING The results are smoother skin, clearer complexion and youthful looks.



3 MAIN FUNCTIONS of Splina Liquid Chlorophyll.


BALANCING Balances acid-alkali levels, and enhances immunity.


CLEANSING Cleanses the digestive system, assists in purifying blood.


NOURISHING Splina is rich in vitamins A, C and E, Zinc, Folic Acid, Calcium, Magnesium and Iron.
"Splina" Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:


Zinc, Selenium, Vitamin E, Vitamin C, Vitamin A, Protein, Biotin, Folic Acid, Pantothenic Acid, Calcium, Chromium,
Phosphorous, Potassium, Magnesium, Iron.



  • Diets which consist of more ACIDIC FOODS will result in a rise of acidic level in our body in the long run, eventually causing various illnesses like:


Heart disease, High Blood Pressure, Stroke, Diabetes, Arthritis, Gout High cholesterol.



  • Benefits of "Splina Liquid Chlorophyll":


Promotes cell rejuvenation and boosts the immune system.


It eliminates body odors and other skin sores.


A great help for digestive problems.


Purifies the liver by eliminating old toxins material.




Who Should take "Splina Liquid Chlorophyll"

» People who often perspire.
» People with liver problems.
» People with respiratory problems.
» People with rheumatism.
» Anaemic people.
» Those with pale complexion.
» People with weight problems.
» Very skinny people.
» Very Fat people.
» Smokers and alcoholic people.
» Those who dislike eating vegetables.
» Those who suffer from constipation.
» Those who experience menstrual pain.
» Those who often catch cold.
» Those who often have sore throats.
» People with body odor and bad breath.
» Busy and stressful people.
» Easily fatigue people.
» People who likes junk food and fast food.
Kwa maoni na ushauri nipigie +255784475576 au email: brwebangira@gmail.com AU Wasiliana na Dr Kingu no 0718441177 wa Kiomboi kisiriri pharmacy iliyopo Buguruni karibu na Petrol Station.
Ms Upendo @ Edmark international Cell: 0718945619/ 0685580226,
 
Mdau nashukuru sana, asante JF kwa kuwa na topic kama hizi, umeniokoa sana, ilibaki kidogo kufanyiwa upasuaji maana hali ilikuwa mbaya sana, Shake off na splina ni mkombozi wangu, sitazisahau kamwe na hazitakosa nyumbani mwangu mpaka ukamilifu wa dahali, Mungu akubariki sana.
 

Jicho, je waweza funguka zaidi kwa faida ya wengi? Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…