Sioni faida yeyote ya hii kitu inaitwa colour of wedding, sanasana ni kuiga tu utamaduni wa kimagharibi na kuongeza gharama zisizo kuwa na maana.
Ni wakati wetu sasa kurudi kwenye sherehe zetu za kimila badala ya kuukumbatia huu utamaduni mambo leo.
Hawa pia nimeona wanarangi yao ya harusi na wamependeza !
Ona hawa jamaa walivyo pendeza na mavazi ya utamaduni wa kwao.
Safi ile mbaya.
Sioni faida yeyote ya hii kitu inaitwa colour of wedding, sanasana ni kuiga tu utamaduni wa kimagharibi na kuongeza gharama zisizo kuwa na maana.
Ni wakati wetu sasa kurudi kwenye sherehe zetu za kimila badala ya kuukumbatia huu utamaduni mambo leo.
Sioni faida yeyote ya hii kitu inaitwa colour of wedding, sanasana ni kuiga tu utamaduni wa kimagharibi na kuongeza gharama zisizo kuwa na maana.
Ni wakati wetu sasa kurudi kwenye sherehe zetu za kimila badala ya kuukumbatia huu utamaduni mambo leo.
Kimey kwenye harusi unavaa suti ya mninga au mpodoKwa hiyo tuvae magome ya miti?
Hapo umeronga dada.
Mbona wazungu hawafanyi sherehe kwa kutuiga sisi?
Ni aibu sana, eti mzungu anafunga safari kuja Afrika aliko alikwa harusi, badala ya kukuta arusi ya Kiafrika anakuta ni harusi ya kiulayaulaya.
Wacha watuite manyani, ndicho tunacho stahili.
kweli kabisha dada hata mimi sifagilii hayo mambo kabisha yananiudhi me mungu akkinijaalia sitaki hayo mambo nataka utamaduni wangu
Wabongo bana eti utamaduni,bongo kuna utamaduni gani wakati vitu vyote tunaigakweli kabisha dada hata mimi sifagilii hayo mambo kabisha yananiudhi me mungu akkinijaalia sitaki hayo mambo nataka utamaduni wangu