Tatizo wabongo tumefanya harusi kisifa zaidi kuliko furaha yakweli, mamichango ya ajabuajabu, utawaambia nini wachangaji? lazima waifanye kivile wanataka. Nilishiriki harusi ya jamaa yangu mganda unaandaa sherehe ya harusi yako na mkeo na wazazi halafu unaalika watu, kila mualikwa anajua anatakiwa kupeleka zawadi kwa maharusi kadili atakavyo jaaliwa. sasa harusizetu (zakuiga) watu wanakuchangia mahela kibao siku ya shughuli ni kula na kuondoka, wakati mwingine wasifike kabisa .. Let's go back to our roots.