Colour printer gani inafaa kwa matumizi ya stationery?

Colour printer gani inafaa kwa matumizi ya stationery?

Joined
Dec 7, 2017
Posts
19
Reaction score
5
Wadau habari.

Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
 
Hapo utapata epson l850
Nzuri sana kwakulinda quality na doc au picha na running cost ni ndogo sana
Changamoto ni moja ya ambazo sio imara

Hii zinauzwa kati ya 950 mpaka 1,100,000

Zipo printa mpaka ya 120,000 usirogwe ukanunua
 
Back
Top Bottom