Gabrielgoodluck Member Joined Dec 7, 2017 Posts 19 Reaction score 5 Sep 24, 2022 #1 Wadau habari. Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
Wadau habari. Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
jonas amos JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 3,645 Reaction score 4,438 Sep 24, 2022 #2 Hapo utapata epson l850 Nzuri sana kwakulinda quality na doc au picha na running cost ni ndogo sana Changamoto ni moja ya ambazo sio imara Hii zinauzwa kati ya 950 mpaka 1,100,000 Zipo printa mpaka ya 120,000 usirogwe ukanunua
Hapo utapata epson l850 Nzuri sana kwakulinda quality na doc au picha na running cost ni ndogo sana Changamoto ni moja ya ambazo sio imara Hii zinauzwa kati ya 950 mpaka 1,100,000 Zipo printa mpaka ya 120,000 usirogwe ukanunua
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 24, 2022 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...