Tanzania fujo mtaani zinatulizwa Na jeshi la polisi (FFU) sio JWTZlay off that reply button for a minute bruh, like 10 times you quoting me, whats good? nimeboeka nikaona niwatafash kidogo, I know y'all a sensitive bunch especially when one mentions those actors you call soldiers. Question chief, hivi wapi wata apply hizo tactics except bar brawls na kuzima fujo mtaani?
Hahahaha acting? are you serious ? Unadhani JWTZ Ni Kama wanajeshi wenu mayai?
Unahaki ya kusema hivyo maana wanajeshi wa Kenya hata gwaride hawajui..!!
Tanzania fujo mtaani zinatulizwa Na jeshi la polisi (FFU) sio JWTZ
Shame on you..! Hii sio kenya
1960- 2000,This were the Golden Era for jwtz, from king's african rifles to jeshi la wananchi wa Tanzania.JWTZ my army.
You can't be serious..!haaaaaaaaaa, such a funny fruit, mentioning JWTZ na KDF in the same sentence.
Mbona nafasi za uongozi wa kisiasa za wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa wanajeshi? Ni nani aliyepeleka siasa jeshini?.Mbwa wewe usidharau askari wetu, Wanajeshi siyo wanasisa na tena ukome kabisa shwaini wewe.
Kumbe ww ni mkenya?? aiseee nyie kwetu ni cha mtoto sana.. Ndo maana tumewanyang'anya mlima.. Na cku mkijichanganya mtajuta kuzaliwaNajua hio sio Kenya, watu wana act alafu mnakuja hapa kusifia, mna mchezo sana nyie ny.umbu
Hayo ni Maonyesho ya sarakasi za kijeshi kwenye tv.oya kuja pole pole, wapasua matofali hao wanamtisha nani? iliwachukua mda gani ku cram hizo moves mkuu? yani actors kabisa, hapo jeshini mna acting school? nimeona talanta mbili tatu hapo kwa hao waigizaji. hahaha am no whore.
Mkuu ya mkoa Na wilaya Ni kiongozi wa kisiasa?Mbona nafasi za uongozi wa kisiasa za wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa wanajeshi? Ni nani aliyepeleka siasa jeshini?.
Acha unafiki.
Do you mean they are just a bunch of amateurs trying to be real soldiers.?Mbona povu?imagine nilikiuwa nadhani hao ni ma actors, kumbe jeshi duuuh. still amateur actors.
Kumbe ww ni mkenya?? aiseee nyie kwetu ni cha mtoto sana.. Ndo maana tumewanyang'anya mlima.. Na cku mkijichanganya mtajuta kuzaliwa
Hahahaha umeua mkuuKumbe ww ni mkenya?? aiseee nyie kwetu ni cha mtoto sana.. Ndo maana tumewanyang'anya mlima.. Na cku mkijichanganya mtajuta kuzaliwa
Do you mean they are just a bunch of amateurs trying to be real soldiers.?
Martial arts maalum kutoka lugalo.kwa kifupi hakuna muigizaji hiyo ni martial arts
Mwambie mkuu wenu wa majeshi aje achukue mafunzo kwanza maana Na yeye Ni mchele mchelenshakuskia mkuu
Kawafanyie fujo, au peleka jeshi Mogadishu uone kama alshabab awajatinga hapa.Kama waimba taarabu vile nyie hamuoni ya kwenu kila siku kambi za jeshi mnavamiwa na alshababu
Kama wetu ni wazalendo wa kweli je wangekubali kupewa vyeo vya kisiasa na wanasiasa? Tazama wakuu wa wilaya na mikoa.Lakini ni afadhali actors wetu wazalendo kuliko wale wanajeshi walioiba vitu kwenye mall kule westgate na kunywa pombe.
Tupo vizuri kwenye video.Duuu tupo vzr kumbe
Dah! Dua zenu wakuu nami ntajiunga soon kwenye comando