Comando from Tanzania episode three

toka nimeanza kuwaangalia macomando wa Tanzania sijawahi kuona comando mfupi. inamaana Tanzania hamna watu wafupi ambao wanauwezo wa kuwa macomando?
sio kweli...wafupi tupo kibaoooo...labda unaowanaga wewe ni warefu..
 
I got to say... hiyo mliiona ni basic training... hamuwezi onyeshwa.. ile advanced training... ambayo ndipo ukomando haswa ulipo. So pls.. stop kuwaponda hawa vijana...
Na nyie mnao waponda embu nenden bas kama mnaweza hizo tiz...
 
Mbona povu?imagine nilikiuwa nadhani hao ni ma actors, kumbe jeshi duuuh. still amateur actors.
Sasa wewe unapiga kelele kwa jeshi gani mlilokuwa nalo Al shabaab wa nne tuu wakawatoa kamasi hadi mkaleta vifaru,Helkopta,midege ya kivita na bado wakafanikiwa ku escape.......wakaishia kuiba vitu kwenye Mall.
 
Mkuu ya mkoa Na wilaya Ni kiongozi wa kisiasa?
Wakuu wa mikoa na wilaya ni Viongozi wa kuteuliwa na mteuzi aliye chaguliwa na walioipigia kura katika uchaguzi wa mkuu wa nafasi za uongozi wa kisiasa.

Wanasiasa wapo wa aina mbili, waliochaguliwa na walioteuliwa katika nafasi, vyeo, hadhi ya kisiasa.
 
Nafikiri tukomae kukuza uchumi zaid, coz vita ya kisasa inahusisha zaidi uchumi sambamba na teknolojia.. sio Misuli na ukovavu pekee... hapo ndio tutakuwa madhubuti haswaaa...
 
I got to say... hiyo mliiona ni basic training... hamuwezi onyeshwa.. ile advanced training... ambayo ndipo ukomando haswa ulipo. So pls.. stop kuwaponda hawa vijana...
Na nyie mnao waponda embu nenden bas kama mnaweza hizo tiz...
[HASHTAG]#Fact[/HASHTAG]
 
Nafikiri tukomae kukuza uchumi zaid, coz vita ya kisasa inahusisha zaidi uchumi sambamba na teknolojia.. sio Misuli na ukovavu pekee... hapo ndio tutakuwa madhubuti haswaaa...
Ukomavu
 
HAHAHAHAHA wapasua matofali, fcking actors.

Angalia lugha yako, zama zimebadilika sasa hivi. Utaifa sio kikwazo cha kuongea kebehi na unaishi Tanzania na sio Kenya.
 
usibishane na huyu dada, maana anaonekana aidha yu ktk balehe au hajabalehe, msijewekwa kundi moja maana anonekana hana adabu na ana roho ya ukabila!
kweli mkuu nimempotezea
 
Ni kitu gani kinakufanya uone kuwa usaili unaweza kuwa siyo wa haki? Na umewezaje kujua kuwa hao wanajeshi uliowaona siyo imara? Umetumia kipimo gani na ukilinganisha na nini?
nilishauthuriaga usaili katika wilaya moja yani waliotajwa kuwa wamepita kwenye usaili hakuna hats mmoja ambae alikuwepo Sikh hio sasa nikashangaa hawajafanyiwa usaili sasa wamepitaje nikajua pesa imefanya yake
 
Inawezekana usaili ulikuwa zaidi ya intake moja mkuu, kwa hivyo labda waliopita walifanya usaili siku nyingine tofauti na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…