Comando from Tanzania episode three

Inawezekana usaili ulikuwa zaidi ya intake moja mkuu, kwa hivyo labda waliopita walifanya usaili siku nyingine tofauti na wewe.
mkuu fatilia ata usaili wa mwaka huu uone wakuu wa wilaya na afisa Mgambo wanavyokula rushwaa bila woga kutoaa hizo nafasi
 
Makomandoo wafupi wapo Tanzania ya sasa, na duniani wapo Tanzania tu. Kipindi cha Mwalimu Nyerere, makomandoo, jwtz na ffu walikuwa warefu.

Leo hii utakutana na askari mwenye urefu wa futi tano. Unajiuliza hapa imekuwaje?
Hakuna unalolijiua wewe, ni hivii uanajesh ni moyo wa uvumilivu na sio urefu au mwili mkubwa.
 
It isnt easy to lay it off, when you display direct disrespect to our armed forces, not agreeing with their methods/display of fitness is okay but not with such disrespect, I will keep quoting you as I please, you have no respect, dont call me brother, I dont have sisters wenye "domomavi"
 
Kama waimba taarabu vile nyie hamuoni ya kwenu kila siku kambi za jeshi mnavamiwa na alshababu
Dah.... Tena kwa kwa kutumia mbinu zilezile.....kama US waliwafunza mbinu za mashambulizi mitaani tu.... bila kulinda kambi zenu.. Jifunzeni bana [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
uanajeshi ni pamoja na uzalendo, ukakamavu, afya bora, mafunzo ya kijeshi (sio sarakasi) , intelijensia, umbo la mwili( vitambi, ufupi, urefu )

akili zako fupi kama hao.
Nashukuru umeligundua hilo kua nina akili fupi, lakin yote hayo kama huna moyo wa uvumilivu na kujitolea huwez kuyafikia na ndio maana kabla ya yote kunakua na mafunzo ya kutokulala huku wakifanya mazoez magumu sana hio yote ni kupima uvumilivu, na hata kukimbia wengi hukimbia kipindi hiko cha awali kwa sababu kunakua na mfululizo wa vipindi na hata nafasi ya kulala japo kidogo tu inakosekana kwa hio unakuta mtu anashundwa kuvumilia anakimbia
 
kuhusu jeshi mkuu hata misri,nigeria,ethiopia,s.afrika hatujawafikia na cjui hii thread source umeitoa wapi
 
Hata spelling zinakushinda, umenikasirisha na dharau zako hilo napuuzia ila sasa kwanini matusi! kwani unachuki gani na JWTZ? unaruhusiwa kukosoa kistaarabu lakini matusi hayavumiliki!
Mkuu wanawake wngn bleed zinawajia vibaya hana sababu yyt kutumia matus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…