I hate neno nikimpeleka,amefaulu yes lkn ubongo wa dogo unasemaje yeye km yeye,sometimes unasoma masomo yote ili kubalance combination na sikua hua unapenda kua hivyo.
advance muda mchache sana tena mno,muambie dogo aanze tuition haraka sana,science ni nzuri Kwa kombi yoyotekikubwa ni uwezo wa dogo plus tuition,shuleni unapata 20% ya elimu na hasa government schools.