Comb yangu haijabalance!

Comb yangu haijabalance!

NaCl

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
40
Reaction score
3
Jaman nipen mawazo nina 3 ya 24 eng c kisw c bio c na chem c halafu masomo mengine nina d. Chaguo la kwanza nimejaza pcb na sasa haijabalance, kwa hapo nianze kutafuta shule ya private au nisubiri post na mimi maweza pata?
 
PCB unachaguliwa tu wala usijali coz kwenye comb una DCC, unachaguliwa docta mtarajiwa ww. Kwa matokeo ya mwaka huu mejitahid sana mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom