N NaCl Member Joined Apr 22, 2013 Posts 40 Reaction score 3 Jun 3, 2013 #1 Jaman nipen mawazo nina 3 ya 24 eng c kisw c bio c na chem c halafu masomo mengine nina d. Chaguo la kwanza nimejaza pcb na sasa haijabalance, kwa hapo nianze kutafuta shule ya private au nisubiri post na mimi maweza pata?
Jaman nipen mawazo nina 3 ya 24 eng c kisw c bio c na chem c halafu masomo mengine nina d. Chaguo la kwanza nimejaza pcb na sasa haijabalance, kwa hapo nianze kutafuta shule ya private au nisubiri post na mimi maweza pata?
Erick tryphone JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 387 Reaction score 84 Jun 3, 2013 #2 Unachaguliwa
M Mshirazy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 421 Reaction score 70 Jun 3, 2013 #3 PCB unachaguliwa tu wala usijali coz kwenye comb una DCC, unachaguliwa docta mtarajiwa ww. Kwa matokeo ya mwaka huu mejitahid sana mdogo wangu.
PCB unachaguliwa tu wala usijali coz kwenye comb una DCC, unachaguliwa docta mtarajiwa ww. Kwa matokeo ya mwaka huu mejitahid sana mdogo wangu.