Zero Brain
Member
- Apr 20, 2013
- 39
- 3
Utakuwa Muuza unga
Utakuwa Muuza unga
Wadau weny ideal basi naomben mnisaidie mwny kunikejel bac mungu amjalie huenda yy akawa anajua yote
Wewe jamaa mbona unajiita zero brain? Au kwa vile physics inakupa wakati mgumu? Embu sema hiyo CBM ni kitu gani? Ni chemistry, Biology na mathematics ?
Kama ni ndio basi chuoni waweza fanya kozi kama vile biotechnology, pharmacy, Medicine, Zoology, Botany, marine science .....duh yaani zipo nyingi mno!
Samahan wadau
habar znu?
Naomben kujua kuhusu comb mpya ya CBM iloanzshwa ivi karbun, ukiisoma A'level chuoni waweza kusomea coz gan hasa?
Nataman sana kuisoma hii coz naihofia sana phy
Utakuwa Muuza unga
Medicine na Marine Science bila Physics sina uhakika sanaWewe jamaa mbona unajiita zero brain? Au kwa vile physics inakupa wakati mgumu? Embu sema hiyo CBM ni kitu gani? Ni chemistry, Biology na mathematics ?
Kama ni ndio basi chuoni waweza fanya kozi kama vile biotechnology, pharmacy, Medicine, Zoology, Botany, marine science .....duh yaani zipo nyingi mno!