Ni hivi, Jana nilitoa betri la gari kutoka kwenye Mitsubishi Pajero mini nikaliweka kwenye Toyota alphard kwakuwa hii alphard betri iliibiwa na jana nilitaka niitumie, Sasa shida ikaja nilipoirudisha betri kwenye Pajero mini zili combination switch za taa na wiper hazifanyi kazi shida inaweza kuwa ni ni?