njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ule mzuka wa outarra kwangu umeshuka kabisa nilidhani labda sababu yeye na Inonga wanaongea kifaransa itakuwa rahisi kuwasiliana kumbe ni hovyo kabisa.
Outarra ana mazuri yake lakini akipitwa nusu hatua tu kwisha kazi yake ujue nyavu zinaenda kutikisika sijui ni mzito ama nini, agh?
Hata kama kocha ni mbishi kutetea ingizo lake si amuweke namba 6 ambayo tunaambiwa anajua kuicheza, onyango na inonga wacheze nyuma?
Bora angekuja tu yule m cameroon Harvey ngomo, saa nyingine hawa makocha wa kizungu nao ni madalali tu nilishangaa inakuwaje Al hilal inayojijenga upya ikiwa na tajiri mpya aliywekeza 12.5 millions us dollars wamuachie beki wa miaka 23 kwa usd 50,000 tu? bila shaka waliona mapungufu yake
Inaonekana huyu Zoran anaogopeka hapo Simba hata la kumshauri tu amsogeze kipenzi chake outtara namba 6 watu wanaogopa ila tuambiane tu ukweli the defence is shaky