Tetesi: combination

Pia mfumo mbaya wa uongozi, mfano juzi niliona yule muuguzi mkuu anasema wanapunguza vigezo kwa sababu hakuna wauguzi wa kutosha, siyo kweli, changamoto ni nyingi moja wapo ni uchumi, kwa sababu ukiangalia vyuo vya private vinatoza ada kubwa, lakini pia kuna watu wako mtaani hawana ajira ila yeye anasema kwamba ni wachache
 
kwa PCB kama ana DCB anasoma?
Anasoma ndiyo coz point hapo Ni 9.
kusoma Combination yoyote huwa
wanaanzia
Point 3-10
ukiwa na DCB hapo Ni point 9.upo ndani unasoma Bila Shida.

BT,unaweza kupangwa combination tofauti,lakini ukifika Shule unabadilisha Bila Shida yoyote
 
.

na zile combination choice za mwanafunzi katika selform hawazingatii au vp maana ktk selform kajaza PCB mwanz mwisho
 
.

na zile combination choice za mwanafunzi katika selform hawazingatii au vp maana ktk selform kajaza PCB mwanz mwisho
Selform Ni mbwembwe TU.
%kubwa upata kile kilicho kinyume na selform.
na ndiyo maana Kuna nafasi za kubadili combination baada ya kufika Shule.

hapo muhimu Ni kupata Shule ambayo unahitaji combination YAKO iwepo.

I.e unaweza kupangiwa
Milambo CBG na wewe ulitaka kusoma PCB so endapo utafika kule na milambo hiyo PCB IPO Basi unabadilishia shuleni.

lakini ukaenda milambo na PCB husiikute haha Hapo itanidi uhame Shule Yenye PCB au ukomane na CBG.

I.e
Selform huwa hatuzingatii Sanaa,huwa tunampa mwanafunzi chance ya kubadilisha combination akiwa Shule.
 
selection tareh ngap?
 
Hapo kwenye PGM kuwa na fursa zaidi kuliko PCM naomba ufafanuzi nipate kufunguka zaidi, maana huwa naona ni kinyume chake.
Regards...
 
Anasoma ndiyo coz point hapo Ni 9.
kusoma Combination yoyote huwa
wanaanzia
Point 3-10
ukiwa na DCB hapo Ni point 9.upo ndani unasoma Bila Shida.
BT,unaweza kupangwa combination tofauti,lakini ukifika Shule unabadilisha Bila Shida yoyote
Kuna ndugu yangu malengo yake kusoma CBG ana C ya jogi na kemia ,bios B na mathe F kwenye selform kajaza CBG vipi anaweza kuchaguliwa hiyo kombi ?
 
Kuna ndugu yangu malengo yake kusoma CBG ana C ya jogi na kemia ,bios B na mathe F kwenye selform kajaza CBG vipi anaweza kuchaguliwa hiyo kombi ?
Anaweza kuchaguliwa,ila akikosa serikalini hata private anasoma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…