Ninachojua Simba ina uwezo wa kumfunga Namungo bila makando kando yoyote.
Yanga ni mafia sana na walimpa maelekezo mwamuzi aiharibu mechi maksudi ili kufuta malalamiko mengi ya timu yake kufanya maigizo na kupeana pointi na timu zake.
Hii hali unaweza kudhani ni mipango ya Simba kumbe Simba nao wanashangaa tu.
Ila mjue nyuma mwiko ni ina watu wa hivyo wanafanya kazi kijasusi kama free masons.
Soka limefikia pabaya kisa nyuma mwiko wanatafuta utawala wa soka nchini kwa kila hali huku hawataki kabisa timu yoyote izungumzwe kwa ukubwa kuliko wao.
Hapa mashabiki wenzangu wa Simba wengi tunaingia kwenye mfumo wao kisha wanatuita mbumbumbu kwa kuwa wanaichafua timu yetu kwa akili sana na sisi tunawasapoti kwa kushindwa kufikiri mambo kwa kina
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app