Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

Vipi wana JF Arusha Hq mna timu tiyari??
 
Wana JF Arusha mpo!!! Mbona kimya?
 
Kwa sisi wenye vitambi itakuwaje sasa?...Loner si unajua parabola nililo nalo mimi...sa huwa inakuwaje hapo?...mwongozo wako plz!
 
Tunayo mbiyo za watu wenye vitambi ni ile 5 km... Inatakiwa kuwa fun day nyingine kwa wana JF Arusha Wing...
 
Mimi huyoooooo kama mmbulu vile na ka mwili changu cha kijiko ila suala la nitashika namba ngapi sijui!
 
sasa Loner.....kama sio kunitakia kifo ni nini?......hili furushi lote huku nyuma nalikimbizaje?.....we niambie tu hapo nafanyaje.....
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">sasa Loner.....kama sio kunitakia kifo ni nini?......hili furushi lote huku nyuma nalikimbizaje?.....we niambie tu hapo nafanyaje.....</span></font></font>
<br />
<br />
Na mimi sijui nisemeje,
 
Mimi huyoooooo kama mmbulu vile na ka mwili changu cha kijiko ila suala la nitashika namba ngapi sijui!
Tena ulivyo na mwili kama mbulu lazima upate nafasi ya kwanzzaaaaa.... Karibu sana...
 
sasa Loner.....kama sio kunitakia kifo ni nini?......hili furushi lote huku nyuma nalikimbizaje?.....we niambie tu hapo nafanyaje.....
Ni muda wakufanyiya kazi hilo kifurushi chako.. Kinaweza kupungua na kwa saizi ya kipotable... Siri ya urembo ni kukimbia kidogo na kutembea muda mrefu zaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…