Come to think of It..............

Mwanamke anaweza kumlazimisha mwanaume wafanye matusi???
Hata mie nilikua najiuliza hilo..sijaisoma sheria ya ubakaji, hivi kwenye ile sheria kuna kipengele cha mwanamume juu ya miaka 18 akalalamika amebakwa? hebu mwenye data anijuze kabla sijachangia mada!!
 
naomba niulize tu then i will be out of here, inawezekanaje kufanya makamuzi wakati una hasira na mtu? i mean how would you do it? would you be able to say nice things to him? to kiss ghim nicely and to tell him you loove him etc,etc? is it possible?
 
Mi naona ni kila mtu alivyo tu, kuna wadada wengine wakinuna mpaka wiki hadi mwezi hapo hamsemeshi mwenzie na wanaume pia japo wao si saana kama sie wanawake. mwanamke anaweza kumaliza ugomvi mapema kuliko mwanaume sababu yapower of seduction tuliyojaliwa na mungu.utakuta mwanamke kamkosea mumewe anaomba tu usiku ufike visa vinaanza kitandani hatimae utakuta mwanaume tayari yuko kwenye match neno la kwanza kuongea wakati process inaendelea ni " uthirudie tena lakini" aaaaah hapo mwanamke anachekea pembeni cause tayari ugomvi umeisha

Pia wanawake wengine kama kina sie tuna weakness ya kusamehe mapema sana na kusahau saa ingine usiku unakuta tayari ushajisogeza kukumbatiwa wakati umekumbatiwa ndio unakumbuka kumbe umenuna duh kujitoa huwezi unabaki tu kugunaguna
 
naomba niulize tu then i will be out of here, inawezekanaje kufanya makamuzi wakati una hasira na mtu? i mean how would you do it? would you be able to say nice things to him? to kiss ghim nicely and to tell him you loove him etc,etc? is it possible?

Ushawahi kuona rough sex wewe mara nyingi inatokea wakati mwanaume amekasirika na mengine kama hayo. wakati mwingine anaweza kuwa anaongea wakati wa tendo " hii ndio inakufanya uwe na kiburi ee nakwambia nijibu nijibu nijibu husikii wewe mwanamke??? nijibuuuuuuuuu. mwanamke nae kashaanza kukolea, ndio mume wangu ooooh uuuuwi nisamehe nakupenda haki ya mu... thirudii tena, mara mume kabadilika uso ohoooo tayari. mfano tu jamani msiniquote!
 
hahahahahahahahhahahahah

 
MJ1... sijui nianzaje but nadhani you can not make love without emotion, but you can have sex for fun, revenge, excitement, proving something au just to punish someone

Waweza kumfumania mtu na kwa hasira kabisa ukajikuta unampa sex the wildest... just depend how you are and how deep and rough the "wildflower" is

it is strange lakini haya mambo hayana formula na mara nyingi hata tukijaribu vipi kuweka standards tunashindwa kuzioanisha

Personally, kama nimeudhika wiwezi kufanya lakini i had a girlfriend ambaye she would always wnd up making love as the tool to reconcile and start afresh

we differ alot
 
Kwa kweli ninakubaliana nawe ni sawa kulink na hisia but mbona kama sometimes hawatuelewi wenzetu?? Mimi nakumbuka there was a time back there nilikasirishwa nikanuna na kumnunisha MJ1 mdogo ......nikaambiwa wakigombana MJ1 mkubwa na Baba Chanja wake ugomvi huo hauwahusi MJ1 mdogo na Baba Chanja mdogo.......nilichoka.

Sasa sijui hizi feelings attached to sex iko kwa wanawake tu au hata wanaume huwa wanahusika??
 
would u go back and have sex afterwards then,,:coffee:
Kaizer this is a very valid question.....will she?? and after how long ?? Kwa sababu sometimes huwa tunaombwa misamaha and yet tunasimamisha shingo.........

But some hawana neno samahani kwenye dictionaries zao na njia pekee ya kureconsile ni through that act
 

................. Nimesema hivyo Nailyne mamii kwa kuwa nashundwa kuelewa hiyo link inaexist naturally au ni sis tunaiexistisha maana I cant find it kwa wanaume...........yaani mume amemnyima mwenzake kidude kwa kuwa amemuudhi??........
 
hii iko applicable hata kwa men pia....na ni worse kweli kwetu cause you cant fake it!
Oh..kumbe?? But hivi kweli unawezaresist.............nimekuudhi then nakufanyia mahanjumati kweli mzee anaweza kugoma kwenda?? Sijawahi kujaribu hebu ngoja nifanye experiment............
 
Aksante Klorokwin..hiki ndicho ambacho nilikuwa nakisemea.........so hii kitu wanawake tunatake advantage.........huwa ninaukumbuka sana mfano wa nyamayao kuwa Mr akinuna anajifanya kaona mende jikoni anaruka futi mia na keleuwiii nyingi then Mr akijakutizama kuna nini anamkuta nyamayao chini akigumia kama kaumia ........akifanya kosa tu la kumwinamia kumnyanyua anajikuta anamalizia kila kitu........sasa nasi hii tuite kubaka?? Maana inakuwa kama tumamlaimisha pasipo ridhaa yake ............tukisaidiwa na maumbile
 
Mwanaume akianza kwenda KONA BAR NA JOLY basi mama umeumia,usidhubutu kumnyima mumeo unyumba
Mh hii ni mpya so kabla ya hapo atabembeleza but akishawafahamu kina Miss Jolly and Miss Kona Bar tumeumia?? Hapo ni kama kanyimwa ...je kama yeye ndo kanyima kwa kuwa ana hasira?? si ni yale yale tu??......ananyima kwa kuwa kuna anakopeleka/pata?? na kama ni kweli basi anaweza akawa anatafuta sababu za kukunyima kila siku!!
 
shida yangu mimi ni MUDA AMBAO SRED IMERUSHWA.....

Teamo umeanza................!! lol come to think of it......huo muda unawezaukawa unawakilisha maelezo mengi sana eh??
 
"women cant think beyond the bad which hide them for the night"
 
yani gaga nimecheka hadi mbavu sina lol, bt mi nikikasirka n if its a genuine reason, mtu lazima aombe msamaha kwanza ndo apate mambo roho yangu ikiwa safi.
 

Nakuunga mikono na Miguu. Wanawake ni wepesi kuwalainisha wanaume. Matatizo mengi hapa yanaishia bedroom. Kuna msemo huku kwetu wanasema: Waliooana kugombania chumbani. Kwa maana kwamba pale khanga ya mama ikidondoka, kama mke anataka yaishe, utashangaa unaambiwa ona sasa umeniumiza huku, huku ...kidole kinaelekea katikati ya mapaja yake. Kulikoni hukoi?? Mwanaume, hapo utaona mwenzio kajilaza kihasara hasara, kisha anakuvuta. Kesi kwisha hapo!!
 

I thought i answered this question....it will depend on why/who/for how long has he bn cheating on me???The reasons /circumstances will help me decide to have sex with him as we use to,or to end the relationship and move on with my life.......:coffee:
 

Nafikiri na wanaume wanahusika MJ1,kuna wanaume hawafanyi sex na mwanamke wasiompenda unless ni ile basi tu kashindwa kujizuia kwa sababu fulani.....am not sure nimeelewa swali,if not,plz help understand you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…