Come to think of It..............


nikizungumzia uzoefu wangu binafsi nadhani nakubaliana na hoja yako kwamba wanawake wanatake advantage na kama sio wanawake wote basi at least huyu waifu wangu. na siwezi kuita "ubakaji wa mwili au wa nguvu" kwavile mwanaume unafanya lile tendo ukiwa unalifurahia kabisa, lakini naweza nikaita kwamba ni "ubakaji wa udhaifu wetu", me as me hata niwe nimekasirika vipi mgomo wa sarakasi siweki cuz i am sure i am going to loose the battle, naweza nikamuwekea mgomo wa kumsindikiza shopping na kwenda cinema weekend as alternative (releif for me, punishment for her).
 

Nimejifunza jambo kutoka kwako.thanks.
 

i salute you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…