Comeback ya Manara, kina Ali Kamwe wapo salama au yatajirudia ya Nugaz?

Comeback ya Manara, kina Ali Kamwe wapo salama au yatajirudia ya Nugaz?

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Kwa shauku aliyonayo si ajabu akawa analinoa koo lake na maziwa ya ngamia mara tatu kwa kutwa, kifungo chake kinaenda kuisha mwezi huu, si hivyo tu bali Yanga ikiwa imebeba makombe muhimu mfululizo mara 3.

Nikikumbuka ujio wake, Nugaz alikuwa peak na tulidhani wangefanya kazi pamoja ila mwisho wa siku Nugaz aliondoka.

Kina Ali Kamwe watasalimika?
 
Fikra zangu zinaniambia moja ya watu ambao hawatamani kumuona Manara anarudi ni Ally Kamwe, Abiud na Alwatan.

Japo mashabiki wengi wa Gongowazi wanaamini wasiopenda kuona Manara anarudi ni mashabiki wa Simba ila namba zinaonesha tofauti.

Sipati picha siku ya tamasha wakianza kugombania maiki nani aanze kumtambulisha Chama.

Lakini Karia alisema jamaa hajatumikia adhabu kwasababu ya kukiuka masharti aliyopewa.

Ngoja tuone
 
Sidhani kama itakuwa shida kamwe atabaki msemaji Kisha Manara atapewa wing ndogo aongoze
 
Zama Zake Zilishakwisha ....!

Yeye aendelee na Show off Zake Na Wake Zake tu....!

Kipindi cha Ujana Wake , hili la Show off za Wanawake zake hakulifanya, sasa Kakumbuka Uzeeni.....!
usilolijua ni kwamba hata baada ya kufungiwa miaka miwili, hata mashabiki wa simba walikuwa wanajazana kusoma chochote atachoposti baada ya mechi, Simba walivyopigwa 5g post yake ilipata wafuatiliaji wengi mno wakiwemo wa simba, Manara anaijua kazi yake vyema kibongo bongo.
 
Manara apewe cheo cha mhamasishaji wa mashabiki ndo kinamfaa zaidi , usemaji amwachie Ally Kamwe, mbona fresh tu
 
Kwa shauku aliyonayo si ajabu akawa analinoa koo lake na maziwa ya ngamia mara tatu kwa kutwa, kifungo chake kinaenda kuisha mwezi huu, si hivyo tu bali Yanga ikiwa imebeba makombe muhimu mfululizo mara 3.

Nikikumbuka ujio wake, Nugaz alikuwa peak na tulidhani wangefanya kazi pamoja ila mwisho wa siku Nugaz aliondoka.

Kina Ali Kamwe watasalimika?
MANARA ni heavyweight Acha kabisa .. Kitendo Tu cha MANARA kua msemaji ni ushindi
 
Manara ni lizee, hizo kazi za vijana kama Ally Kamwe, Ahmed Ally, na Priva
 
Back
Top Bottom