wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
usilolijua ni kwamba hata baada ya kufungiwa miaka miwili, hata mashabiki wa simba walikuwa wanajazana kusoma chochote atachoposti baada ya mechi, Simba walivyopigwa 5g post yake ilipata wafuatiliaji wengi mno wakiwemo wa simba, Manara anaijua kazi yake vyema kibongo bongo.Zama Zake Zilishakwisha ....!
Yeye aendelee na Show off Zake Na Wake Zake tu....!
Kipindi cha Ujana Wake , hili la Show off za Wanawake zake hakulifanya, sasa Kakumbuka Uzeeni.....!
Manara kuwa mwajiriwa wa Yanga bila usemaji ni sawa na Chama umchezeshe full back ya kushotoSidhani kama itakuwa shida kamwe atabaki msemaji Kisha Manara atapewa wing ndogo aongoze
Hata mimi naona hivyo; Injinia ana akili sana, atawapangia majukumu yasiyoingilianaSidhani kama itakuwa shida kamwe atabaki msemaji Kisha Manara atapewa wing ndogo aongoze
unajua kisa cha manara na nugaz..humjui manara wewe hapo ilivo t ye na alikamwe haziivi kabisaManara apewe cheo cha mhamasishaji wa mashabiki ndo kinamfaa zaidi , usemaji amwachie Ally Kamwe, mbona fresh tu
Naona kama umri wake haufai kuwa msemaje apewe kitengo kingine Cha fitna fitna huko ndaniManara kuwa mwajiriwa wa Yanga bila usemaji ni sawa na Chama umchezeshe full back ya kushoto
Kisa kilukuwa ni nini mkuu?unajua kisa cha manara na nugaz..humjui manara wewe hapo ilivo t ye na alikamwe haziivi kabisa
MANARA ni heavyweight Acha kabisa .. Kitendo Tu cha MANARA kua msemaji ni ushindiKwa shauku aliyonayo si ajabu akawa analinoa koo lake na maziwa ya ngamia mara tatu kwa kutwa, kifungo chake kinaenda kuisha mwezi huu, si hivyo tu bali Yanga ikiwa imebeba makombe muhimu mfululizo mara 3.
Nikikumbuka ujio wake, Nugaz alikuwa peak na tulidhani wangefanya kazi pamoja ila mwisho wa siku Nugaz aliondoka.
Kina Ali Kamwe watasalimika?
Yeah haina shida hiyo.Sidhani kama itakuwa shida kamwe atabaki msemaji Kisha Manara atapewa wing ndogo aongoze
Aolewe tu azaeMasikini Ally Kamwe,sasa itakuaje!!
Atakuwa msemaji msaidiziMasikini Ally Kamwe,sasa itakuaje!!