Tayar!Taarifa za chini chini zinasema kuna uwezekano mechi ya Simba Vs Kagera Sugar ikaahirishwa leo kutokana na wachezaji muhimu zaidi 13 wa Simba kupata mafua na homa galfa ,ingawa timu ilishawasili kwa mchezo
Taarifa za chini chini zinasema kuna uwezekano mechi ya Simba Vs Kagera Sugar ikaahirishwa leo kutokana na wachezaji muhimu zaidi 13 wa Simba kupata mafua na homa galfa ,ingawa timu ilishawasili kwa mchezo
Tuwaingize uwanjani wakati tayari mmekimbia na sasa mpo njiani na mnarudi darsawa daktari,waingize basi uwanjani
Kwani hata mm nikipewa milioni tano nitashindwa kusema nina wagonjwa piahata kocha wa Kagera amesema na yeye timu yake Ina wagonjw pia
Wewe utakuwa UTOPWINYO tuTuwaingize uwanjani wakati tayari mmekimbia na sasa mpo njiani na mnarudi dar
Aya sawaWewe utakuwa UTOPWINYO tu
Mitopolo italalamika au nayo itahairisha mechi
Breaking: wachezaji wote Simba omicron positive. Wengine wako hoi.Je mazoezi yanasaidia kweli?Basi nipo napambana na mazoezi ili nisipate hayo mafua. Sasa kama wachezaji wanaugua hali itakuwaje? [emoji848]