Comfirmed; Mechi ya Simba Vs Kagera imeahirishwa kutokana na wachezaji 16 wa Simba kuugua mafua

Comfirmed; Mechi ya Simba Vs Kagera imeahirishwa kutokana na wachezaji 16 wa Simba kuugua mafua

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Taarifa za chini chini zinasema kuna uwezekano mechi ya Simba Vs Kagera Sugar ikaahirishwa leo kutokana na wachezaji muhimu zaidi 13 wa Simba kupata mafua na homa ghalfa, ingawa timu ilishawasili kwa mchezo.

1643606531432.png
 
Taarifa za chini chini zinasema kuna uwezekano mechi ya Simba Vs Kagera Sugar ikaahirishwa leo kutokana na wachezaji muhimu zaidi 13 wa Simba kupata mafua na homa galfa ,ingawa timu ilishawasili kwa mchezo
IMG-20211218-WA0383.jpg
 
Hapo ndipo penye umuhim wa kuruhusiwa kusajili wachezaj 30.Kwa hyo mbungi lipigwe tu.Janja janja ya mikia hyo
 
Kuna tetesi kuwa wachezaji wa simba FC wamegoma kwa sababu CEO Barbara hajawalipa posho
 
Basi nipo napambana na mazoezi ili nisipate hayo mafua. Sasa kama wachezaji wanaugua hali itakuwaje? [emoji848]
 
Basi nipo napambana na mazoezi ili nisipate hayo mafua. Sasa kama wachezaji wanaugua hali itakuwaje? [emoji848]
Breaking: wachezaji wote Simba omicron positive. Wengine wako hoi.Je mazoezi yanasaidia kweli?
 
Back
Top Bottom