Wakenya wapo busyMbona ni watanganyika tu ndiyo wanajadili hapa?
yaani una-support Ruto na hujui UDA ni nn? Kweli humjui vizuri!Ni nini hii tena?
Viatu Vya Wafanyakazi wa kampuni ya UDA??
🤣🤣🤣
Kalenjin na Kikuyu kupokezana kijiti hadi lini? Uhuru support for Agwambo kubadilisha mwelekeo?Kalenjin sio royal tribe? Hebu acheni kuropoka!
UDA ni chama kipya cha Ruto kirefu cha UDA ni "United Democratic Alliance"! Kaanzisha chama akiwa bado member wa Jubilee ready for 2022!Embu nijuze.
UDA ndo nini?