Coming 2022 Election: Ruto Safii

Miaka yote wakikuyu ndio huwa wanaamua hatma ya Urais (wingi wao na ushawishi).Ruto asijione Bab kubwa bila Kenyatta..hawezi kushinda .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Miaka yote wakikuyu ndio huwa wanaamua hatma ya Urais (wingi wao na ushawishi).Ruto asijione Bab kubwa bila Kenyatta..hawezi kushinda .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Pamoja na yoote mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Kwa nini hawataki naye Ruto awe rais kwani wao wawe marais wana nini na Ruto asiwe rais ana nini?
 
Okeeei
Kwa hiyo uda ni tawi la jubilee?
Jubilee wanasemajee?
Aawapi Jubilee wako njiani kumtimua Jubilee kuna faction mbili Kieleweke chini ya Uhuru na Tangatanga chini ya Ruto! kumekuwa na vikao vya kumtimua Ruto ila kila wakati maamuzi yanhairishwa! Hizi vitu ni vikubwa kuvielewa Ruto is a wrong guy to take the presidency after Uhuru! Ni mtu wa kinyongo na si wa kuaminika ana tamaa pia ukiacha ula rushwa! don't be deceived by his facade at mcha Mungu!
 

Lkn in Kenya no one can point a finger to another regarding graft.
 
Ruto saafiii.
Wanajaribu kushindana naye lkn hawatashinda
Sasa anaye shindana na Ruto ni nani? ,ww upo Kenya au Burundi usiyejua siasa za Kenya?.
Ruto ndio anayeshindana na akina Kenyatta na Odinga,Wachezeshaji wa siasa za Kenya toka uhuru ni familia 2-Familia ya Kenyatta&Odinga.

Wanasiasa wengine wote Kenya nzima wametokana na migongo ya hizo familia,hata huyo Ruto wako amekuwa maarufu kwa kujiweka karibu na Odinga.

Umaarufu wa Mzee Moi na Urais wake umetoka kwa Kenyatta,Urais wa Kibaki umeamiliwa na Kambi ya Odinga.

Hii maana yake ni kuwa kwa kuwa Kenya hamna vyama vya Siasa stable na as long as Kenyatta na Odinga wapo kwenye ulingo wa Siasa basi Rais yoyote ajaye wa Kenya ataamuliwa na hao jamaa.
 
Hawezi kushindana na wakikuyu!! Imekula kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…