mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
Pole sana kijana wangu...nilipigwa ban ya vi-siku kadhaa, kusema kweli sijui kosa langu lilikuwa lipi na bado sijalijua, sababu pia sijawahi post matusi wala abuse yoyote humu so bado sielewi kosa langu la kupigwa ban.
najihis kama mgeni vile, na toka nipigwe ban, mvuto wa jf kwangu umepotea kidogo!
Pole sana kijana wangu...
Labda umesahau ila hawawezi kukuadhibu bila sababu!
Karibu sana na tena
Teh inawezekana kuna mtu alimind kitu aka Report post au Abuse na wao bila kuangalia wakafyatukaNashukuru Erickb52 , asante nyingi zikufikie.
Inawezekana labda kuna mahali niliteleza, lakini kweli sijui hapo nilipoteleza, kama ni kwa ku-post matusi au kumu-abuse mtu nakataa, ningeambiwa hata kosa langu ni lipi kabla ya kupigwa ban.
nilipigwa ban ya vi-siku kadhaa, kusema kweli sijui kosa langu lilikuwa lipi na bado sijalijua, sababu pia sijawahi post matusi wala abuse yoyote humu so bado sielewi kosa langu la kupigwa ban.
najihis kama mgeni vile, na toka nipigwe ban, mvuto wa jf kwangu umepotea kidogo!
pole sana mkuu...nilipigwa ban ya vi-siku kadhaa, kusema kweli sijui kosa langu lilikuwa lipi na bado sijalijua, sababu pia sijawahi post matusi wala abuse yoyote humu so bado sielewi kosa langu la kupigwa ban.
Najihis kama mgeni vile, na toka nipigwe ban, mvuto wa jf kwangu umepotea kidogo!
ndio hivyo najilazimisha polepole, but mzuka sio kivile kama 1st time,we ingia ndani hamu ya JF itarudi bila kulazmishwa
Thank you for your hospitality,Pita ndani.
haya!! karibu huku kwenye majokes ukonge moyo wakondio hivyo najilazimisha polepole, but mzuka sio kivile kama 1st time,
Thank you mkuu,pole sana mkuu...
Check na moderators watakwambia nini shida.