Ok...........Movie yoyote atakayokuwa Taraji P. Henson will be fine with me...
Ok...........
Duh huwa ni baaab kubwa... sherehe za hapa na pale yaani huwa siku moja tulivu hivi hapo Zenj kiasi unaweza kujisahau kama upo Zenj... utakumbushwa tu na AdhanaHey mnasherehekeaga Krismasi Zenj?
Duh huwa ni baaab kubwa... sherehe za hapa na pale yaani huwa siku moja tulivu hivi hapo Zenj kiasi unaweza kujisahau kama upo Zenj... utakumbushwa tu na Adhana
Pitia kule ukumbi wa Dini utakuta maana yake....Adhana ndo nini?
Angalia waungwana wasiseme you are out of touch....mzee bongo umekulia masaki nini?
Nasubiria na Bourne 4 sema inatoka 2010....
Huyo "bronzo" ni pigo za kibosi, mambo ya geti kali, adhabu kunywa maziwa....😉
Hivi una idea hiyo Bourne 4 ni novel gani kati ya zile za Robert Ludlum?? Kuna novel moja ipo kwa jina lake, lakini iliandikwa baada ya yeye kufa inaitwa "The Ambler Warning." Besti, hiyo kitu si mchezo na nasubiri sana siku wakiitengenezea movie....
NN, cruise yako inaendeleaje?? au zilikuwa kamba tu kama safari ya MKJJ kwenda likizo bongo desemba hii!!! Bwahahahahah....
Happy Holiday ya'll....
Tuweke picha basi kama ushahidi!! hivi leo weather ipoje ATL?? Huku ili- snow jana usiku na leo mvua basi aaaaaaaagh kero tupu..LOL
Hii thread ni kwa ajili ya movie zote zinazotoka 2009....so far nasubiria Wolverine na Angels and Demons
Wolverine
[media]http://www.youtube.com/watch?v=HlC0XQ6VXNQ[/media]
Angel and Demons
[media]http://www.youtube.com/watch?v=jbK-r651sNI[/media]
Huyo "bronzo" ni pigo za kibosi, mambo ya geti kali, adhabu kunywa maziwa....😉
Hivi una idea hiyo Bourne 4 ni novel gani kati ya zile za Robert Ludlum?? Kuna novel moja ipo kwa jina lake, lakini iliandikwa baada ya yeye kufa inaitwa "The Ambler Warning." Besti, hiyo kitu si mchezo na nasubiri sana siku wakiitengenezea movie....
NN, cruise yako inaendeleaje?? au zilikuwa kamba tu kama safari ya MKJJ kwenda likizo bongo desemba hii!!! Bwahahahahah....
Happy Holiday ya'll....
Ha ha!! Ungekuwa wa uswazi usingeuliza adhana ni nini...
Sijui watachukua kutoka kwenye kitabu kipi, maana kuna kama vinne vimeendelea baada ya Ultimatum...ukisoma vitabu na kuangalia movie kuna tofauti kubwa sana.

Wolverine itakua bonge la movie...yaani hizi X-Men haziishi jamani?