Coming soon..Kampuni ya ku-train na kupromote wanasiasa!!

Coming soon..Kampuni ya ku-train na kupromote wanasiasa!!

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,665
Wanajamvi nataka nianzishe kampuni ya kusaidia wanasiasa (politics lab)..kazi yake itakua ni kutrain,kupromote vipaji vya wanasiasa ambao wanaonekana wana uwezo tofauti na ilivyo sasa wapo vijana wenye uwezo lakini kutokana na kukosa assistance za kimkakati, rasilimali fedha, vitendea kazi na elimu ya siasa ndoto zao zinaperish in vein! Due to some cost za kuendesha hii kampuni patakuwa makubaliano ambayo ukifanikiwa utachangia kampuni 1/3 ya income yako kila mwezi kwa kipindi tutakachokubaliana. Mtaji ninao tayari na tayari nimeanza mazungumzo ya awali na wadhamini wawili wameahidi kutoa ushirikiano kwa kampuni kama ikiwa registered.. Naombeni ushauri, hii kampuni serikali itakubali kuregister? Na je nini kiongezwe au kipunguzwe?.. Naheshimu maoni yenu..na naahidi kama itafanikiwa, vijana watakaokua wametoa mchango mzuri katika hee thread watakua wa kwanza kuwa signed POLITICS LAB.. Asanteni
 
Back
Top Bottom