Coming soon..Sean Paul ft Diamond Platnum

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Fans wa kweli wa Diamond calm down n wait na haters hakuna haja ya kutukana,tulieni mwone mtoto wa Jakaya anavyotangaza vyema jina letu kimataifa.
 
sasa wewe mbona unapenda kuongea pumba na kujitungia ujinga? Ukiingia kwenye blog ya diamond hakunaga ivi vi2 unavyoandika hapa kila siku kwaio wewe unamjua sana diamond kuliko yeye anavyojijua!? Kwaio wewe ndio meneja wa diamond?
 
Hivi we kweli mwanaume?? Mbona unanipa masjaka sana
 
sasa wewe mbona unapenda kuongea pumba na kujitungia ujinga? Ukiingia kwenye blog ya diamond hakunaga ivi vi2 unavyoandika hapa kila siku kwaio wewe unamjua sana diamond kuliko yeye anavyojijua!? Kwaio wewe ndio meneja wa diamond?
wabongo bana
 
sasa kama unaadmin web yake unawezaje kuja kuifcha huku habar nyeti kama hyo kama ni ya kweli? Jaz alitangaza Magna Carta Holy Grail kwenye web yake rasmi. Sasa kama web ya diamond yenye viewers weng hujaweka then unakuja huku tutakuelewaje? Acha uongo na admin wa web ya diamond nawajua na c ww mshabik wa kujtolea kushnda JF unahangaika. Kamuuliza Rama Mpauko au Moze Iyobo ID hii ya nan atakwambia. Then acha kuuza sura kwa pcha zko JF huwez pata umaarufu kama unavyodhan
 
sasa wewe mbona unapenda kuongea pumba na kujitungia ujinga? Ukiingia kwenye blog ya diamond hakunaga ivi vi2 unavyoandika hapa kila siku kwaio wewe unamjua sana diamond kuliko yeye anavyojijua!? Kwaio wewe ndio meneja wa diamond?

Usipoteze muda kuuliza huyu punga huwa anapewa habari akiwa analiwa kiboga.
 
et admin, admin gan hata kuandka spelling za sean paul zinakushinda? Unaadmin vp sasa kama hata kupanga heruf ni tabu? Dogo unachekesha, pga kaz umek money acha kupoteza muda
 
mkuu mwambie uyo bado hajajisoma! Et mi admin! Ha ha ha
 
et admin, admin gan hata kuandka spelling za sean paul zinakushinda? Unaadmin vp sasa kama hata kupanga heruf ni tabu? Dogo unachekesha, pga kaz umek money acha kupoteza muda

uyo bado hajielewi mkuu!
 
mbona mnamsakama sana mnataka asiende chooee! haya bana kama ndo mnavyotaka!!!
 
Kumpiga BAN Matola ni sawa na kumfunika
Nyuki kwa Tenga...atatoka tu

wewe una matatizo gani? Una umwa? Au ni ushamba wa jf? Kila nnapofungua thread nakuta huu upuzi wako unaotujazia wall zetu! Huna cha ku comment kaa kimya!
 
Ulipotea sana jukwaani kiasi kwamba nikashindwa kupata updates za platttt beibiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…