Video yake nitakuleteeni soon (kesho). I hope hii itabadili sura ya Dar kwa kiasi flani. Ujenzi umekwishaanza. Wenye info zaidi wanaweza kutupatia.
Linajengwa karibu na mataa ya Royal Palm Hotel (ukiwa unaelekea Mwenge/Masaki) jirani kabisa na kituo cha mafuta cha BP.
Litajulikana kama Uhuru Heights
Video:
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=BAPwAC4LOnw"]YouTube - Uhuru Heights[/ame]
Images:
Floor ngapi...........
Ninakerwa sana na uendelezaji wa eneo ambapo mimi napaita mji mkongwe wa Dar es Salaam....
Hakuna maeneo mengine wajameni?????
Floor ngapi...........
kuna mkuu mmoja alisema watumishi wengi wa ardhi na halmashauri wanatumia vikwapa kufikiria.... if you want to prove this, mtafute meya akuambie why hilo jengo ni muhimu hapo lilipo, atasema yeye anachojali ni mapato tu!!!Yep huwa najiuliza wataalamu wetu wa mipango miji na wachumi kama wanawashauri vizuri wawekezaji ama ni kila mtu anakurupuka kwa vile mfuko unaruhusu............hebu jengo kubwa namna hiyo linahudumiwaje katika eneo ambalo tayari kuna mgogoro wa huduma hasa ya usafiri?
big building ina suffocated area... puf!!!
@ Ndinda........... i meant hakuna nafasi hapo, kuanzia packing, feeder, breathing etc
jengo limeshaisha?3 years alreadyVideo yake nitakuleteeni soon (kesho). I hope hii itabadili sura ya Dar kwa kiasi flani. Ujenzi umekwishaanza. Wenye info zaidi wanaweza kutupatia.
Linajengwa karibu na mataa ya Royal Palm Hotel (ukiwa unaelekea Mwenge/Masaki) jirani kabisa na kituo cha mafuta cha BP.
Litajulikana kama Uhuru Heights
Video:
Images:
ishakula nyundo siku kadhaa zilizopita watanyanyua kitu kinaitwa DAR TOWER muda si mrefu, ni kati ya NMB na developer mwingineNYUMBA ya Sanaa itakuwa another peak endapo serikali itawalinda wavamizi
how many stories will be? is mafuta house taller than this? i recon mafuta house has 27 stories! am I right? the building looks old fashionned, Exim tower although not that tall but better!