Bonge la muvi aisee
Alikuwa akijiita "Akimu" lisa dadake naye alikuwa akimzimia Akimi (muphy) lisa akamwambi akimu...hey yo kim, b carefull, i think my sister like u!Ni miaka 30 sasa unaamini!
Minder wa Prince Akim aliwadanganya totoz kuwa yeye ni Prince.6. Ulinzi
Mwanaume usimame kama mume hata ktk kipindi kigumu
usiwe muoga
Eddie anajizolea points baada ya hotel kuvamiwa na Samwel Jackson then akasimama kama mwanaume kuonesha uanaume maana yake nini
binti akaona huyu huyu
7. simamia unachokiamini
coz hata Wapambe- wanaweza kukuharibia badala ya kukusaidia kutimiza azma yako
Eddie mpambe wake anaomba hela kuwa wanaishi kwa shida
hela zinafika anafanya renovation ya chumba chao
kitu ambacho Eddie anahisi kitaonesha uwezo walionao kifedha
hadi anaomba Landlord awabadilishie room nyingine
8. wengi wanatamani waolewe japo hata Kama umri umewatupa mkono
Lisa na kuvishwa pete kwenye train yule bibi anatoa ushauri but mwisho wa siku anasema kama amekataa nivishe mimi
Hahahah
9. Kazi ni kazi
vijana tusichague kazi ilihali tunajua tunachokihitaji hata Kama tunahisi kuwa tuna status kubwa
Eddie yupo tayari kuwa mfanya usafi
but mpambe anahisi ni dharau kwao kufanya hiyo kazi
10. Hata Marekani (kwa wale wenye mawazo ya kukimbilia huko) NI LAZIMA ufanye kazi ndiyo ule na
asiyefanya kazi na asile
maisha sio rahisi hivyo tunavyoamini
Huko Maisha ni magumu pia na omba omba wapo
hata vibaka na waporaji pia
Eddie wanaibiwa mabegi yao ile karibisha mgeni
11. Majirani hawapendi usumbufu
Hahah (sehemu nayoipenda)
Eddie Asubuhi anawasalimia majirani zake
mwenyeji mmoja anamtusi
F*ck you
then nae anajibu
Yes Yes F*ck you too
usiwe na muda wa kununiana na mtu kisa kakutusi nawe waweza mtusi then ngoma droo
Maisha yasonge
Dah nikisema mafundisho yapo mengi mnooo
one of my favorite movie
hata niiangalie mara 100 huwa siichoki
ila pia hadi sasa kwa vijana ina mafundisho mengi sana:
1. kubwa ni Juu ya ndoa
'follow your heart '
2. Tamaa- baba yake binti anawakilisha wazazi wengi wanaoangalia kijana ana utajiri kiasi gani ili aoe binti yake!
3. wazazi tusiwachagulie watoto wachumba tuwasapoti kama mama wa Eddie alivyokuwa anasapoti kijana wake
mwisho wa siku yakiwashinda wakose wa kulaumu bali nafsi zao
4. tusiwe watu wa kujionesha
hata kama tuna mali na nafasi kubwa
tuishi kawaida tu na heshima yako ipo pale pale wala sio lazima ujioneshe ili wakujue wewe ni nani
Eddie hakutaka hizo habari za kujulikana au kujionesha
HILI LIMEWASHINDA WENGI SANA
5. usimwamini mwanamke sana tafuta kujua anahitaji nini
wala sio hela zako
(Japo wapenda hela nao wapo)
nipende mimi Kama mimi jinsi nilivyo na wala si kwa nilichonacho
Minder wa Prince Akim aliwadanganya totoz kuwa yeye ni Prince.
Afya bora na nini vile......Hiyo nnamba 4 ndio kubwa kuliko yaaani mie napenda sana maisha ya kuwa humble.
Binadamu tunakuwa na mbwembwe nyingi wakati cha muhimu hapa maishani ni afya njema na kugegeda tuu. Mengine yote ubatili tuu.
Inapimwa kw uwezo wako wakuweza kuunganisha magoli wakati wakugegeda. Then hapo unajua kabisa afya yako sio mgogoroAfya bora na nini vile......