Coming very soon....'majeruhi wa mapenzi'...

Nakisubiri. Unaweza toa Intro kidogo kwa kifupi nini kilichomo ndani MMK
 
Thank you, tupo tayari kupokea riwaya yako. Tunaomba tupatie ile summary uliyoiandika nyuma ya kitabu ili tupate insight ya riwaya yako.

Well done Mzee Mwanakijiji!
 
okay now inaonekana Hongera sana vipi hayo maneno ya nyuma Summary unaweza kuyaweka vizuri tuyaone ?
 
Yeah, sasa hivi mgogoro uliopo ni uamuzi wa wapi kipigwe chapa; maana kuna wengine wanasema China, wengine Bongo (nichangie ajira n.k) na wengine wanasema hapa hapa kijijini kwani itakuwa rahisi kufuatilia hatua zake mbalimbali... bado hatujaamua labda in aweek or so tutakuwa tumepata mawazo ya kutosha..

@all, thanks!!!
 
Thank you, tupo tayari kupokea riwaya yako. Tunaomba tupatie ile summary uliyoiandika nyuma ya kitabu ili tupate insight ya riwaya yako.

Well done Mzee Mwanakijiji!

Hujambo wewe,hauna mkasa mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…