Comment chochote kuhusu gemu ya juzi 28.9.2020 Kati ya Liverpool na Gunners

Comment chochote kuhusu gemu ya juzi 28.9.2020 Kati ya Liverpool na Gunners

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Arsenal walidhani kabisa wanaenda kuuwa tembo kwa ubua kwamba wana kikosi bora kabisa.

2. Arsenal waliingia wanjani na matokeo yao mfukoni,tena wakiwa na kumbukumbu za mechi ile ya ngao ya jamii walipochukua ngao,wakaamin kabisa wanawamudu The Reds.

3. Mashabiki wa Arsenal wana mdomo sana uku mtaani,ni waongeaji sana halafu mpira hakuna.Unawezaje mlinganisha Sadio Mane,Salah,Frimino cjui na huyo Aubamayang,Lacazette,Pepe.Mnashika bunduki zisizo risasi halafu mnamtaka kuuwa kwa risasi
 
Haya njoo tuendeleze kukajadili Ka thread kako mechi ishaisha usijisahaulishe.
 
Ila pointi tatu za juzi si zilikuuma mkuu?
Maana mimi matokeo ya mechi ya Alhamisi hayakunigusa hata kidogo
Wacha weeee! "Sizimbichi taki hizi" Basi sawa...Jus have a chill pill and relax.
 
Wacha weeee! "Sizimbichi taki hizi" Basi sawa...Jus have a chill pill and relax.
Una stress mkuu,mechi yako home tunakupiga tena.so pambania hilo kombe la mbuzi.
 
Una stress mkuu,mechi yako home tunakupiga tena.so pambania hilo kombe la mbuzi.
Unajua maana ya Stress? au umesikia neno sehemu unatumiatumia tu ?Malizana kwanza na Aston Villa...labda utaelewa unaandika nini.
 
Back
Top Bottom