This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
UcpanikiSo whaaat!
Baada ya Game kesho...tuonane kwenye thread yako hii.Ucpaniki
Carabao Arsenal mnaiona kama CL ahahahHaya njoo tuendeleze kukajadili Ka thread kako mechi ishaisha usijisahaulishe.
Jadiliana na huyo Liverpool mwenzio aliyekimbia Uzi....achana na mimi.Carabao Arsenal mnaiona kama CL ahahah
Ndio makombe saiz yenu hayo.kwa level na viwango vyenu.Haya njoo tuendeleze kukajadili Ka thread kako mechi ishaisha usijisahaulishe.
Naona unahamisha magoli, eti?Ndio makombe saiz yenu hayo.kwa level na viwango vyenu.
Ila pointi tatu za juzi si zilikuuma mkuu?Jadiliana na huyo Liverpool mwenzio aliyekimbia Uzi....achana na mimi.
Wacha weeee! "Sizimbichi taki hizi" Basi sawa...Jus have a chill pill and relax.Ila pointi tatu za juzi si zilikuuma mkuu?
Maana mimi matokeo ya mechi ya Alhamisi hayakunigusa hata kidogo
Una stress mkuu,mechi yako home tunakupiga tena.so pambania hilo kombe la mbuzi.Wacha weeee! "Sizimbichi taki hizi" Basi sawa...Jus have a chill pill and relax.
Ndio saiz yao mkuu.Carabao Arsenal mnaiona kama CL ahahah
Unajua maana ya Stress? au umesikia neno sehemu unatumiatumia tu ?Malizana kwanza na Aston Villa...labda utaelewa unaandika nini.Una stress mkuu,mechi yako home tunakupiga tena.so pambania hilo kombe la mbuzi.